Msanii Benson

FirstClass

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,079
1,335
Kwa heshima na taadhima, napenda kumleta kwenu mtunzi na mwimbaji bora kabisa wa muziki wa kizazi kipya, kijana na msanii Benson..

Sina maneno mazuri ya kumuongelea kijana huyu, ila nendeni yu- tubuni mkajionee maajabu yake..

Alianza na Motto Hauzimi, na sasa ana Mashallah.. Ebana eeehh.. Wenye maneno mazuri karibuni mjazililizie uzi yangu..

 
Yuko yeng'eng'ee sana uyu home boy,,Ila kusema ni mtunzi mzuri umekosea dingii,,Ngoma zote izo Hauzimi na Mashaalah kazichora Jay Melody,so labda useme ni mwimbaji mzuri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom