Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,176
41,990
Wasalaam wajamvi!

Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.

Ndoa ya King Kiba ilianza kuingia dosari baada ya Amina kutaka ndugu wa Alikiba wakajitafutie maisha yao na wajitegemee jambo ambalo lilizua taharuki na ugomvi mkubwa baini ya ndugu wa Alikiba na Amina..

Amina alidai ni vigumu kuishi na watu wengi vile ndani ya nyumba moja hata kama ni ghorofa na bado kuwe na amani...hivyo alimshauri alikiba awape mitaji wakajitegemee au awapangie nyumba nyingine.....

Hili jambo liliendeleza mgogoro mkubwa hadi Mama Alikiba kiingilia kati na kutaka Alikiba amuache Amina na akadai apendi hata watoto wa Alikiba kuwa pale....


Wakati hayo yakiendelea kutafutiwa uvumbuzi mtoto wa Alikiba aliugua na kupatwa ugonjwa ulio sababisha awe ana anguka kila muda.....hili lilichochea moto kwani ndugu na Mama Alikiba waliamua kufunga safari hadi kwa fundi ndipo alipotoa tv na kuwaonesha chanzo cha ugonjwa wa mtoto ikidawa amelogwa na Amina mke wa King kiba.


Hivyo basi Mama na ndugu baada ya kutoka kwa fundi walirudi na kumchana live Amina kuwa anataka kumuua mtoto wa King Kiba hivyo lazima aondoke jambo ambalo lilizua ugomvi mkubwa huku Amina akilia kama mtoto na kuwambie hawezi na hana tabia hizo labda kama wanataka aachane na ndugu yao lakini wasimsingizie....

Ugomvi ulikuwa mkubwa sana kupelekea Amina kubeba mwanae na kurudi kwao mombasa huku akitaka kupewa talaka maana ndoa imemshinda!


Mnamo mwezi wa nane mwisho King Kiba alimpa talaka Amina ili aendelee na maisha yake uku wakishirikiana kulea mtoto.


Wasalaaam
 
Ndio tatizo la ndoa za kishwahili mnapishana na ndugu kwenye korido Kama nzi. Afrika kuchomoka bado Sana unaweza kuishi na ndugu zaidi ya watano nyumba moja,Dada wa kazi anafanya kazi ya kupika kuanzia asubuhi Hadi usiku utadhan ni mpisha wa hotel.mnapika chakula kingi Hadi kinakosa ladha .
 
harusi zenye mbwembwe zikifanywa na maskini hazifikagi mbali..

alikiba anatoka ukoo maskini kitendo cha kufanya harusi ya mbwembwe tu ilikuwa kama analeta mkosi..

hela za harusi ya ali kiba zingewapa ndugu zake ali kiba mtaji.. wasingekomaa kuishi kwa alikiba..


ila harusi mnatumia hela nyingi huku ukooo wenu ni maskini.. mtagombana tu
 
Ndio tatizo la ndoa za kishwahili mnapishana na ndugu kwenye korido Kama nzi. Afrika kuchomoka bado Sana unaweza kuishi na ndugu zaidi ya watano nyumba moja,Dada wa kazi anafanya kazi ya kupika kuanzia asubuhi Hadi usiku utadhan ni mpisha wa hotel.mnapika chakula kingi Hadi kinakosa ladha .

hili swala limemuacha Alikiba na nduguze uchi, kama wanaenda kugagua swala la mtoto..je in :oops::oops:his career je..kaloga mara ngapi?
 
Wanaume huzani akiwa na pesa ndiyo kila kitu kama umeamua kuwa na mwenza kwanini akae na familia hapo, watu wenyewe mambo ya kiswahili kibao acha akapumzike, anazidi kuongeza watoto nyumbani bila mama zao, Baba mmoja mama zao 30
This is sad,pole Amina..uwe haupendani na ndugu za mumeo na mumeo anawa support ndugu zake..hio atmosphere ni ngumu...bora ukapumue mwaya!!
 
Kama ni kweli pole yake Amina, hata hivyo mie nilimuona ana moyo sana. Mwanaume ana watoto watatu na kila mtoto na mama yake bado ukatumbukie humo
Kama haitoshi familia nzima inaishi under the same roof yaani hapo maana ya ndoa hakuna.
 
Back
Top Bottom