Msanii Afande Sele aichana serikali iruhusu bangi ili vijana wasijiingize kwenye madawa ya kulevya

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

Msanii Afande Sele ameichana serikali kwa kuwaambia waruhusu bangi na waache kuingiza madawa ya kulevya kwa sbabu yanaua,amesema bora serikali ipitishe bangi watakuwa wanalipa .Amesema atasimama mataifa yote kutangaza ilo ameuliza hivi ni nani alishawai kusikia mtu amekufa kwa kuvuta bangi na mbona langa na mangwair zaman walikuwa wanavuta bangi lakin walivyojiingiza kwenye madawa ya kulevya ndio wakapoteza maisha.
Afande sele alisema maneno hayo alipohojiwa na Kasibante fm ya Mjini Bukoba mara tu baada ya kifo cha msanii Langa kutangazwa

SOURCE KAGERA KWETU MAGAZINE BLOG
 
huko nako ni kuichana serikali!au ni kujionyesha jinsi alivyo mjinga,matumizi ya bangi kwa tz ni kama yameruhusiwa tu,kila kona wa2 wanavuta,hao wanaotumia unga ni mambo ya kuiga tu,wala hayana uhusiano wowote na kuzuiwa kwa bangi.
 
mleta udhi nae ni mtumiaji mzuri wa bang kutokana na ushabiki wake ila huyu ndio mgombea ubunge wa chadema 2015
 
hamuwezi kumuelewa.
jitwalieni fikra huru mpate kujadili hoja yake.
wakati mnasaka hiyo akili huru, jiulizeni anayeathirika kwa madawa ya kulevya haimaanishi kuwa kuna wakati alikuwa nayo hayo madawa kabla ya kuyatumia jambo ambalo ni kosa kisheria, mbona hawapelekwi gerezani moja kwa moja wakutwapo, badala yake hata rais anamsaidia mhalifu kuufaidi uhalifu wake (Ray c mfano hai)

alert; ukijifungia chumbani si tu unajizuia usione nje lakini pia unawapima walioko nje wanaweza tumia njia gani kukufikia.
 
Safi sana! Bangi ihalalishwe!

163550_656907004323721_2112383020_n.jpg
 
Hivi nn maana ya kuichana serikali??,nahisi utakuwa umemaanisha kiambia serikali,
Lakini em tuangalie mantiki ya huyu msaanii katika hili jambo alilosema,navojua mm.bangi,cocaine,mihadarati,heroin,na vingine vyote ni vinalevya!! Sasa waruhusu vip bangi nakato no moja kati ya madawa ya kulevya,ama anaongelea bangi ipi.

Binafsi nilikuwa namheshim sana afande sele tangu zaman za darubin kali,mtazamo,ndugu zangu,malaria,mkuki moyon na nyingine nyingi,hadi anatwaa tuzo ya mkali wa rhymes kwatu wengi walikuwa wanamkubali.
Katika miaka ya hivi karibun nahis huyu msanii kapotea mwelekeo na kuanza kufanya mambo amabyo kwa kiasi kikunwa yamempunguzia mashabiki nikiwemo mm.mfano mbaya ni pale alipovua surual jukwaan na kuonesha boxer yake ambayo hata hivo ilikuwa inamlegea!!.

Kitendo kile kwa mtu makini huwez sema kwamba ni mzuka ama suprise, na hata mziki wake huyu msanii sio kama wa kipindi kileni kwel nakubal kwamba kuna ushinsan kwa sasa na pia wasanii wameongezeka na challenge lakin pia kwa walio makin watagundua katika miaka hii amekuwa na majibizano katika nyimbo na msanii MADEE,
Ni hayo tu kwa sasa mnaweza kukosoa ama kuongezea chochote
 
Hahaha mneniua na hiyo picha ya afande.huyo nae ni mwehu kama wenzie.anakula ndumu mwanzo mwisho
 
Safi sana! Bangi ihalalalishwe! hongera sana Afande Sele!

;afande_sele4.jpg

Ndallo umevunja mbavu zangu Nimecheka mnomno umenikumbusha kile kisa cha yule mdada aliyemlisha mwanae uji kupitia masaburi baada ya kuvuta bangi
 
Hivi nn maana ya kuichana serikali??,nahisi utakuwa umemaanisha kiambia serikali,
Lakini em tuangalie mantiki ya huyu msaanii katika hili jambo alilosema,navojua mm.bangi,cocaine,mihadarati,heroin,na vingine vyote ni vinalevya!! Sasa waruhusu vip bangi nakato no moja kati ya madawa ya kulevya,ama anaongelea bangi ipi.

Binafsi nilikuwa namheshim sana afande sele tangu zaman za darubin kali,mtazamo,ndugu zangu,malaria,mkuki moyon na nyingine nyingi,hadi anatwaa tuzo ya mkali wa rhymes kwatu wengi walikuwa wanamkubali.
Katika miaka ya hivi karibun nahis huyu msanii kapotea mwelekeo na kuanza kufanya mambo amabyo kwa kiasi kikunwa yamempunguzia mashabiki nikiwemo mm.mfano mbaya ni pale alipovua surual jukwaan na kuonesha boxer yake ambayo hata hivo ilikuwa inamlegea!!.

Kitendo kile kwa mtu makini huwez sema kwamba ni mzuka ama suprise, na hata mziki wake huyu msanii sio kama wa kipindi kileni kwel nakubal kwamba kuna ushinsan kwa sasa na pia wasanii wameongezeka na challenge lakin pia kwa walio makin watagundua katika miaka hii amekuwa na majibizano katika nyimbo na msanii MADEE,
Ni hayo tu kwa sasa mnaweza kukosoa ama kuongezea chochote

Wakati ule medula oblangata yake ilikuwa bado haijawa contaminated na moshi wa bhangi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom