Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,926
Narudia Tena Ile ajali ya Moto haikutokea msamvu ila ni karibu tu na ili muelewe location ndio eneo maarufu mnalolijua wengine ni msamvu ila Ile ajali haikutokea msamvu ilitokea njia panda ya kwenda mafisa na mji mpya ambapo ni vitongoji vikubwa vya hapo Moro na asilimia kubwa walioungua ni mateja wa mafisa. Nyuma ya hilo eneo Kuna mtaa maarufu wa mateja morogoro nzima.