Waliozembea ajali ya moto Morogoro kuchukuliwa hatua
Naona Watendaji wa Serikali hawajifunzi kutokana na makosa yaliyowakuta wenzao.
Naona Watendaji wa Serikali hawajifunzi kutokana na makosa yaliyowakuta wenzao.
Unabisha nini ilikuwa msamvuHapana si msamvu
Halikuanguka hapo msamvu...Ni mitaa ya Itigi.Unabisha nini ilikuwa msamvu
Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican.
Familia ya Mungu nchini Tanzania imekumbwa na majonzi makubwa, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kupinduka eneo la Msamvu, Manisapaa ya Morogoro na kuwaka moto uliopelekea zaidi ya watu 60 kupoteza maisha kwa kuteketea kwa moto! Taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama vimebaini kwamba, katika eneo la tukio piki piki 10 maarufu kama “Bodaboda” zimeungua moto na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa ajali hii. Maiti zimehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Morogoro na utambuzi unaendelea kufanyika...
Moto tena?Ni mita chache toka ulipotokea ule moto wa gari la mafuta.View attachment 1463933
MOROGORO: Chanzo cha moto huo uliozuka ghafla bado hakijajulikana mpaka muda huu
> Juhudi za uokoaji bado zinaendelea
🤣🤣🤣 wewe tena!? Nimepamis hapo.. Sema naonaga kelele sana ... Sijakaa miaka almost 2! Mambo vip boss!.. Jumamosi kama utakuwepo tukae hapa Don😉! Ndio chimbo nalolipenda ati!Kituo kimejengwa vizuri miundombinu mizuri
Tukio linatokea tulikuwa bar terminal hapa msamvu
Nliona tu watu wanahaha kukimbilia kuona imekuwaje
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Halikuanguka hapo msamvu...Ni mitaa ya Itigi.
Au ulikuwepo eneo la tukio?
Kuna watu wakisikia Msamvu wanajua ni pale kituoni...Hivi huwa ni jina la mtaa au kata?Yote hyo ni msamvu
Hakuna siasa hapo labda mziingize wenyeweKwa hali ya siasa ilivyo Tanzania wapinzani hasa Chadema itahusishwa
Kuna watu wakisikia Msamvu wanajua ni pale kituoni...Hivi huwa ni jina la mtaa au kata?
Watasema chadema vuta subira utasikiaHakuna siasa hapo labda mziingize wenyewe
Kuna mwenzio keshaanza post ya #13.Watasema chadema vuta subira utasikia
Hakuna mtaa wa Itigi itigi ni kale kabaa pale Msamvu yalipokuwa yanapaki mmagari makubwaHalikuanguka hapo msamvu...Ni mitaa ya Itigi.
Au ulikuwepo eneo la tukio?
Msamvu B iko kata ya Kihonda Maghorofani, Iko mbali sana na Msamvu Stand,Nadhan ni kata ile!..mie hata sina hakika...ila sio mtaa kuna msamv A na B
Futuhi sijui tumerogwaa.....Huyu jamaa ni Bogas kabisa...
Mimi baada ya kuangalia video nimebaki namshangaa yeye, Bora angekaa kimyaa..
Hawa ndio maana wanakamatwa....
Ita Fire....
Toa support....
Nakataa kabisa kama amekosa kabisa cha kufanya, hata kusogeza/kuokoa mali za pembeni zisikutwe na moto..
Msaada ni watu na unaanza na mtu mmoja,
Fire nao sijui watajitetea kwa lipi....
Wanasingiziaga vichochoroni gari haziwezi pita, hapa je.....?, Wasije wakasema umbali hili ndio halitaingia akilini....
Ajali imetokea mjini...
Haitoshi tena stend...
Hio nayo haitoshi Stend kuu ya Mji...
Haitoshi nayo, Makao Makuu ya Mkoa...
Futuhi sijui tumerogwaa.....
Kuna ajali ilitokeaga kule Bariadi simiyu(ngoja nifukue ule uzi) eti gari la zima moto limefika tu site lianze uokoaji, wakiwa wanajipanga eti likaanguka?View attachment 1464066
Wananchi ndio wakaanza kuchota maji na mchanga kuzima moto, Gari limetulia tuu..
Mimi nilibaki mdomo wazi, Labda wewe mganga utatusaidia...
Siyo Wapogolo.Wapogolo kulikoni tena
Hv kumbe na wewe unajua umuhimu wa private sector😂😂Kuna matatizo makubwa sana pale, ukienda tu vyoo huduma mbovu, sidhani kama kuna uongozi pale zaidi ya magenge ya waharifu na wezi. Ni dhahiri private sector ni muhimu ktk kuongoza miradi ya kimkakati.