Msamvu, Morogoro: Vibanda 8 vya biashara katika eneo la Stendi ya Mabasi vyateketea kwa moto

Hapana si msamvu
Unabisha nini ilikuwa msamvu

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican.

Familia ya Mungu nchini Tanzania imekumbwa na majonzi makubwa, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kupinduka eneo la Msamvu, Manisapaa ya Morogoro na kuwaka moto uliopelekea zaidi ya watu 60 kupoteza maisha kwa kuteketea kwa moto! Taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama vimebaini kwamba, katika eneo la tukio piki piki 10 maarufu kama “Bodaboda” zimeungua moto na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa ajali hii. Maiti zimehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Morogoro na utambuzi unaendelea kufanyika.

Pengine idadi ya watu waliofariki katika ajali hii ikaongezeka maradufu kwa sababu kuna baadhi ya watu wameteketea kabisa na wala hakuna alama yoyote iliyobakia kutokana na ukali wa moto!

Mashuhuda waliokuwa kwenye eneo la tukio wanasema, mara baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta aina ya petroli kupinduka na mafuta hayo kuanza kumwagika, baadhi ya watu walikimbilia kwenye eneo la tukio na kuanza kuchota mafuta haya na baada ya muda mfupi, moto mkubwa ukalipuka na huo ukawa ni mwanzo wa maafa makubwa kwa watu na mali zao Manispaa ya mji wa Morogoro.
 
Unabisha nini ilikuwa msamvu

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican.

Familia ya Mungu nchini Tanzania imekumbwa na majonzi makubwa, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kupinduka eneo la Msamvu, Manisapaa ya Morogoro na kuwaka moto uliopelekea zaidi ya watu 60 kupoteza maisha kwa kuteketea kwa moto! Taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama vimebaini kwamba, katika eneo la tukio piki piki 10 maarufu kama “Bodaboda” zimeungua moto na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa ajali hii. Maiti zimehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Morogoro na utambuzi unaendelea kufanyika...
Halikuanguka hapo msamvu...Ni mitaa ya Itigi.
Au ulikuwepo eneo la tukio?
 
View attachment 1463933

MOROGORO: Chanzo cha moto huo uliozuka ghafla bado hakijajulikana mpaka muda huu

> Juhudi za uokoaji bado zinaendelea
Moto tena?Ni mita chache toka ulipotokea ule moto wa gari la mafuta.

Kuna kitu cha kufanya hasa kwa TAASISI YA FIRE mkoa na ile ya OSHA mkoa.siyo wazunguka kukusanya hela ya ukaguzi halafu hawatoi ushari jinsi ya kujinga na majanga kama haya. Tuangalie vyeti vyao vya uhakiki vilitolewa lini.

Lazima tuepushe hasara zisizo za lazima
 
Kituo kimejengwa vizuri miundombinu mizuri
Tukio linatokea tulikuwa bar terminal hapa msamvu
Nliona tu watu wanahaha kukimbilia kuona imekuwaje

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣 wewe tena!? Nimepamis hapo.. Sema naonaga kelele sana ... Sijakaa miaka almost 2! Mambo vip boss!.. Jumamosi kama utakuwepo tukae hapa Don😉! Ndio chimbo nalolipenda ati!
 
Nadhan ni kata ile!..mie hata sina hakika...ila sio mtaa kuna msamv A na B
Msamvu B iko kata ya Kihonda Maghorofani, Iko mbali sana na Msamvu Stand,

Msamvu stand ndio sehemu ilipotokea ajali,

Huyo mwamba alisema Itigi, Itigi nibar/guest house vijana walikuwa wanajiponea iko Msamvu

Sasa anadhani Itigi ni mtaa, ilhali hakuna mtaa wa Itigi, Msamvu
 
Huyu jamaa ni Bogas kabisa...
Mimi baada ya kuangalia video nimebaki namshangaa yeye, Bora angekaa kimyaa..
Hawa ndio maana wanakamatwa....

Ita Fire....
Toa support....
Nakataa kabisa kama amekosa kabisa cha kufanya, hata kusogeza/kuokoa mali za pembeni zisikutwe na moto..
Msaada ni watu na unaanza na mtu mmoja,

Fire nao sijui watajitetea kwa lipi....
Wanasingiziaga vichochoroni gari haziwezi pita, hapa je.....?, Wasije wakasema umbali hili ndio halitaingia akilini....

Ajali imetokea mjini...
Haitoshi tena stend...
Hio nayo haitoshi Stend kuu ya Mji...
Haitoshi nayo, Makao Makuu ya Mkoa...

Futuhi sijui tumerogwaa.....

Kuna ajali ilitokeaga kule Bariadi simiyu(ngoja nifukue ule uzi) eti gari la zima moto limefika tu site lianze uokoaji, wakiwa wanajipanga eti likaanguka?View attachment 1464066
Wananchi ndio wakaanza kuchota maji na mchanga kuzima moto, Gari limetulia tuu..
Mimi nilibaki mdomo wazi, Labda wewe mganga utatusaidia...
Futuhi sijui tumerogwaa.....

Kuna ajali ilitokeaga kule Bariadi simiyu(ngoja nifukue ule uzi) eti gari la zima moto limefika tu site lianze uokoaji, wakiwa wanajipanga eti likaanguka?

Jr
 
Kuna matatizo makubwa sana pale, ukienda tu vyoo huduma mbovu, sidhani kama kuna uongozi pale zaidi ya magenge ya waharifu na wezi. Ni dhahiri private sector ni muhimu ktk kuongoza miradi ya kimkakati.
Hv kumbe na wewe unajua umuhimu wa private sector😂😂
 
Back
Top Bottom