Msamiati wa Kiswahili: "Baadaye" na sio baadae au badae

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Nimekuwa nikisoma kwenye machapisho mengi hasa magazeti ya kila siku kuna makosa sana ya uandishi wa neno hili BAADAYE. Wengi huandika BAADAE hayo kwa mujibu wa kamusi ya TUKI ni makosa. Neno sahihi ni 'Baadaye'.

Poleni na Msiba ndugu watanzania wenzangu.
 
Baadae na baadaye, baadaye= baada yake.
 
Uko sahihi kabisa

Back
Top Bottom