Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Ku,bukeni Wasukuma wako millioni 10 TZ. Ukiwachukuwa wote, uraisi unao. Na hawa jamaa ukweli hawana neno na mtu, lakini sasa naona mnawaamsha na mtakiona kwenye kura. Si mnataka ubaguzi na kura za kanda. Tafadhali usijaribu kuwasha moto usiyoweza kuuziba. Watatumia wingi wao, na ni CHADEMA itakayoumia! Shauri yenu. Yangu macho na masikio tu!
Kwamba ni cdm ndo wanawachukia hao sukuma gang ama ni watanzania ambao hawakufurahishwa na matendo yao? Halaf hao wasukuma ndo hmeambiwa wote ni ccm?
 
Mimi hayo maneno yananitatiza sana.

Kwa sababu mimi ni Msukuma niliyempinga sana Magufuli.

Wasukuma ni kama 10% ya nchi, tusilipe kundi fulani jina la kabila wakati watu wa hilo kundi hawafiki hata 1% ya kabila.

Kuna Wasukuma wengi sana hatupendi ujinga wa ukabila.
Thank you... umesema vizuri san
Nadhani ni wachache tu ndo wanataka kulazimisha ionekane kwamba ni wasukuma wabaya wote ilihali si kweli... wanaoitwa hivyo wanajulikana kabisa na inajulikana kabisa kwann waliitwa hivyoaana ni wao wenyewe walijitangazia hayo wakiongozea na tapeli gwajima
 
Na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine wewe ongelea swala ukabila achana na siasa mashinji alikuwa ni nani? swala la uchaguzi lina sehemu yake na usukuma hakuna mchagga atakuja kuwa mbunge huko kwa hiyo chakufanya nikuchagua kiongozi bora siyo ushenzi unaongea hapa. Ila kiukweli nchi ilikuwa sehemu mbaya kiutawala kisa kuwapa nchi washambaa
Huu mchezo wa Makabila wameuasisi Wachagga especially Pro CHADEMA,kila mara nawaulza,hivi 2025 hawazihitaji kura za Wasukuma? Au ndiyo kampeni zao zitaishia Moshi na Arusha. Wasukuma ni watu poa sana ndiyo maana 2010-2015 waliwahi kuwa na Mbunge Mchagga Jimbo la Ilemela,je Masanja anaweza kwenda kuwa Mbunge Moshi? Twendeni hivyo hivyo kwakuwa hao Wachagga wanajiona ni “wajanja” zaidi kuliko watu wengine na tukutane 2025!
 
Wewe ni mpuuzi tu unapelekewa maendeleo wakati maendeleo yenyewe hamkuwa tayari kuyapokea inamaana gani? hayo maendeleo watafaidika wengine ambayo wako tayari kwa hayo maendeleo na maendeleo ya vitu cyo maendeleo ya watu, unafurahia vitu wakati wenzenu waringi uchumi wako vizuri wapi na wapi wewe?
“Waandamizi “ my foot! Huo uandamizi ndiyo ulikuwa unamaamuzi gani katika Nchi hii,huo uandamizi uliwasaidia nini wakati miradi inapelekwa Kanda ya Ziwa,jazaneni huko kwenye Uandamizi wakati mkifanyiwa maamuzi na watu wachache na hamna la kufanya. Sukuma Ngang hoyeee
 
Ulijifanya kupandisha mabega na kunikoromea kama kijana aliyeko kwa balehe,ukome kutunanga Wasukuma,Nchi hii ni yetu Sote,tuheshimiane. Uwe na siku njema Shimboni.
Ninaweza kukuambia kwa uhakika kabisa bila wa wasiwasi wowote, kwamba wewe sio msukuma.

Lakini hilo sio tatizo, tatizo lako ni kuchochea hiyo tabia mbaya ya ukabila.
 
Ona huyu nae,haya nipe basi kabila unalotaka wewe niwe,am pure Sukuma kwa Baba na Mama, na am very Proud.Huo uchochezi umeanzishwa na Pro Chadema ambao wengi ni Wachaga,wala siyo siri, ndiyo maana kule juu niliuliza kwa mwendo huu hivi Chadema na Pro Chadema wanategemea waje kupiga Siasa Kanda ya Ziwa especially Ukanda wa Wasukuma,maana wana hasira na kila Msukuma,majina yote ya kejeli na dharau wanatupatia Wasukuma. Tuheshimiane na tukosoane Kisiasa,vinginevyo hatuwezi kukaa kimya tukiona tunakashifiwa.

Btw tafuta Msukuma yoyote akwambie maana ya jina “Nyamizi” Wigwa bhebhe Nkigwa?
 
Achana na wajinga wakubwa hawa..shikilia neno kwamba SUKUMA tunafika Milion 10 ktk empire yetu,achilia watakaokua pamoja nasi kama waKerewe,waZinza,waKala,waJita,waSumbwa na yamkini mpaka ukanda wa waHaya.

Kuchokoza Empire hii ni mbaya,mikoa yote mi5 ya waSukuma haijawahi kua na shida yoyote na madaraka ya serikali zaidi ya Ardhi ya kilimo na ufugaji pekee,hivyo basi kinacho endelea ni sawa na kuingiza mkono shimoni ukidhani kuna senene utoe ukakaange ule na kumbe kuna nyoka hatari mwenye sumu

Sukumaland ikiamua kuyataka madaraka itaongiza milele au itawapa wengine lakini empire hiyo itamuongoza huyo atakaye kua anaongoza

South Africa,serikali kwa siri haiwezi kufanya maamuzi mengi bila kumuita yule mfalme wa kabila la Zulu aliyefariki majuzi hapa na mkewe kupewa madaraka ya kuiongoza kabila hilo kubwa lenye watu zaidi ya milion 11. kama uonavyo serikali yetu huwaita viongozi wa dini ndivyo Kusini kule hushirikisha kabila kubwa ili kutowachokoza na kuwaathiri kwa namna moja au nyingine
 
Wao hasa wa Kaskazini siku zote waliamini kuwa wao ndiyo wana haki ya kila kitu,Wasukuma hawajawahi hata kulalamika enzi hizo wameshika kila mahali anzia Wizara ya Fedha,TRA ,Wizara zote nyeti,amekuja kutawala Msukuma tu makelele kama yote. Huwa nacheka sana pana Pro Chadema mmoja alifikia hatua anataka Daraja la Busisi lisijengwe lakini huyo huyo nilimuuliza mbona la Mto Wami husemi lisijengwe, alipita ile post yangu kimya kimya.Nakubaliana na Wewe kwa Sasa We no longer a Sleeping Giant,we know what we want na tutakipata vizuri tu.
 
Ona huyu nae,haya nipe basi kabila unalotaka wewe niwe,am pure Sukuma kwa Baba na Mama, na am very Proud.Huo uchochezi umeanzishwa na Pro Chadema ambao wengi ni Wachaga,wala siyo siri, ndiyo maana kule juu niliuliza kwa mwendo huu hivi Chadema na Pro Chadema wanategemea waje kupiga Siasa Kanda ya Ziwa especially Ukanda wa Wasukuma,maana wana hasira na kila Msukuma,majina yote ya kejeli na dharau wanatupatia Wasukuma. Tuheshimiane na tukosoane Kisiasa,vinginevyo hatuwezi kukaa kimya tukiona tunakashifiwa.

Btw tafuta Msukuma yoyote akwambie maana ya jina “Nyamizi” Wigwa bhebhe Nkigwa?
Ona sasa, "Nkigwa" au 'Nkingwa'?
Kujua hivyo vineno vitatu hakukufanyi wewe uwe wa kabila hilo, na hata haijalishi kabisa kama ungekuwa ni wa kabila hilo, kwa sababu sio wasukuma wote ni wapuuzi kiasi cha kuchochea ukabila kama unavyofanya hapa.

Tatizo la watu kama wewe, ni kudhani kwamba unavyofikiri wewe kikabila, na watu wengine wote katika kabila lenu nao ni kama wewe. Mnaweza kuwepo wachache wenye tabia hiyo, lakini mkajitangaza kwa niaba ya wengine wote hata wasiokubaliana nanyi.

Sasa sijui kama ni shauri ya ufinyo wa ufahamu au elimu kuwa ndogo ndiyo inayokufanya udhani kwamba CHADEMA ni ya Wachaga! Hilo unalifahamu mwenyewe.

Lakini nikwambie wazi tena, wewe siyo msukuma, unatumia mwanya huo wa kudai hivyo kuchochea tu hisia za kikabila hapa JF.
 
Kila nikisoma comment yako ya kukataa mimi si Msukuma naangua kicheko Sikonge njoo uone hapa mtu hataki mimi niwe Msukuma.Kubali tu huo upuuzi mliotaka kuuleta hapa wa kunanga Wasukuma haukubaliki. Kwa taarifa yako nimekuwa Pro Chadema kwa muda mrefu sana tu,lakini huu ujinga wenu wa kujiona nyinyi ni wajuaji wa kila kitu na nyinyi ndiyo mnastahili kila kitu kuliko Makabila mengine ndiyo umenifanya niwaone kwa jicho tofauti kabisa nyie Pro-Chadema.

Mko tayari kumtumia yoyote kwa ajili ya manufaa yenu,hata Lisu mnamtumia kufikia agenda zenu. Why muweke chuki kiasi hiki na Wasukuma kisa JPM alikuwa Rais?

Itoshe tu kusema,tuheshimiane,tukosoane kwa maswala ya Kisiasa kwa tofauti zetu za Kisiasa,lakini mkileta za kujifanya nyie mnajua kila kitu,tutazinguana vizuri sana,Wasukuma watu poa but mkituzingua ,tutazinguana kweli,we are no longer a Sleeping Giant kama mlivyozoea kutuona

Bhebhe Nyanda lekaga shi ugitula ntwe ndamu,nene nde Sukuma zigizigi,uke wize Bariadi ulye ngoko na matobolwa
 
Nilishakwambia wewe ni kisichana ambacho akili bado zinarukaruka kutokana na usumbufu wa 'hormones'.

Lakini naona wewe naona sio tatizo hilo tu; bali una tatizo kubwa zaidi kichwani.

Ni wapi uliponisoma mimi nikiwa pro-CHADEMA hadi urukwe na akili kiasi hicho..
Wewe ni mkabila. Furaha yako ni kuona mgawanyiko wa wananchi kwa misingi ya ukabila.

Sina heshima wala subira na mtu yeyote anayefarakanyisha waTanzania kwa njia yoyote ile.

Sasa sina haja tena ya kuendelea kujibishana na wewe, kwa sababu hakuna jipya lolote unaloongeza kwenye majibishano haya.
 
Na uache kuwananga Wasukuma,Case Closed
 
Achana na wajinga wakubwa hawa..shikilia neno kwamba SUKUMA tunafika Milion 10 ktk empire yetu,achilia watakaokua pamoja nasi kama waKerewe,waZinza,waKala,waJita,waSumbwa na yamkini mpaka ukanda wa waHaya.

Kuchokoza Empire hii ni mbaya,mikoa yote mi5 ya waSukuma haijawahi kua na shida yoyote na madaraka ya serikali zaidi ya Ardhi ya kilimo na ufugaji pekee,hivyo basi kinacho endelea ni sawa na kuingiza mkono shimoni ukidhani kuna senene utoe ukakaange ule na kumbe kuna nyoka hatari mwenye sumu

Sukumaland ikiamua kuyataka madaraka itaongiza milele au itawapa wengine lakini empire hiyo itamuongoza huyo atakaye kua anaongoza

South Africa,serikali kwa siri haiwezi kufanya maamuzi mengi bila kumuita yule mfalme wa kabila la Zulu aliyefariki majuzi hapa na mkewe kupewa madaraka ya kuiongoza kabila hilo kubwa lenye watu zaidi ya milion 11. kama uonavyo serikali yetu huwaita viongozi wa dini ndivyo Kusini kule hushirikisha kabila kubwa ili kutowachokoza na kuwaathiri kwa namna moja au nyingine
Wingi wenu umewasaidia nn? Mbona ktk mikoa maskini karibu 80% Ni ya USUKUMANI?
 
Aisee!

Uzi wa mtu anaekaa kwa shemeji yake utauona tu!

Na mods wataushughulikia sasa hivi tu
 
Back
Top Bottom