Msamaha wa wafungwa baada ya kuadhimisha miaka ya 55 ya uhuru.

savo

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
274
200
Tunakushukuru raisi wetu John.P.Magufuli kwa msamaha wako kwa wafungwa 5,678 kulingana na ilivo zoeleka.

-swali ni je? Wale akina Nguza Vikingi, na Papii kocha wamo katika msamaha wa mwaka huu? Kwakweli tumewamisi sana hawa jamaa.

thanks for face independence for domo-krasia..
 
Kwani orodha hawajaiweka wazi?
Nadhani Mungu atakuwa kawaona na msamaha huu utawagusa.
 
Ukiona dume zima kutwa kucha linamtafuta babu seya ujue linahemewa kisogoni believe me. Kuna Watanzania Potential wangapi wako kifungoni?? Mbona huulizii hao hadi unaishia kumuulizia huyo Mcongoman basha wako, jirekebishe mazee hao unaowatafuta kuna wenzia humu wana machungu nao.
 
Ukiwahi hemewa lazima uchukie icho kitendo, na usipokuwa na upendo kwa watu wote we ni nani na unajiamini kwa kipi na una nini? SHAME ON YOU
[HASHTAG]#acha[/HASHTAG] kutokwa povu
 
Ukiona dume zima kutwa kucha linamtafuta babu seya ujue linahemewa kisogoni believe me. Kuna Watanzania Potential wangapi wako kifungoni?? Mbona huulizii hao hadi unaishia kumuulizia huyo Mcongoman basha wako, jirekebishe mazee hao unaowatafuta kuna wenzia humu wana machungu nao.
wehu hawakosekanagi JF,..watu wanawatetea wakina papii kutokana na mazingira ya kesi yao,,,acha kuharishaharisha hovyo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom