savo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 277
- 204
Tunakushukuru raisi wetu John.P.Magufuli kwa msamaha wako kwa wafungwa 5,678 kulingana na ilivo zoeleka.
-swali ni je? Wale akina Nguza Vikingi, na Papii kocha wamo katika msamaha wa mwaka huu? Kwakweli tumewamisi sana hawa jamaa.
thanks for face independence for domo-krasia..