Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 355
Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa anaijua zaidi aliyekuwa Waziri wa Afya kipindi hicho na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji ndugu Seif Rashid!!. Chini ya uongozi wa huyu jamaa MSD imepitia changamoto kubwa sana ikiwa ni pamoja na uonevu mwingi sana kwa watumishi.
Mnao tarehe 3.5.2020 Mh. Rais wa wakati huo alitengua uteuzi wa ndugu Bwanakunu kama DG wa MSD. Mnamo tarehe 2.6.2020 ndugu Bwanakunu alishikiliwa na TAKUKURU ili kupisha uchunguzi wa makosa ya; matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia hasara Serikali na mwishowe kupelekwa mahabusu gereza la Keko. Lakini mnamo tarehe 13.5.2021 ndugu Bwanakunu aliachiwa huru na Mahakama ya Kisutu baada ya DPP kutoonyesha nia ya kuendelea na mashitaka dhidi yake.
Sisi watumishi wakati tunafurahi kuachiwa huru kwa Bwanakunu, maana maandiko matakatifu yanasema lieni na wanaolia na furahini na wanaofurahi, kama mamlaka zilivyoona ni vyema huyu bwana aachiwe huru kwa maana labda mashitaka yakikuwa ni kubambikiwa basi ni vizuri pia kwa mamlaka za juu kuwafikilia watumishi waliofukuzwa au kuhamishiwa kwenye mazingira mabovu ya kazi au kutolewa kabisa nje ya MSD wakati wa uongozi wa Bwanakunu kwa uonevu mkubwa sana kwa kuangalia upya mashauli yao.
Enzi za huyu Bwanakunu kwa kushirikiana na genge lake kwa maana ya; Victoria Elangwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na bwana Robert Biah Mkaguzi Mkuu wa ndani waliwaharibia sana watumishi utumishi ambapo wengine wameishiwa kufukuzwa kazi kwa makosa ya kubambika, kisa hawamtaki. Kama wamepanga kumtosa mtumishi basi walikuwa wanamwambia Robert Biah aanzishe mchakato na yeye anashika kasi mpaka mtumishi anafukuzwa kazi and then wanamuweka mtu wao. Kwakweli hili genge kilikuwa ni la kishenzi sana. Wamewaumiza watu unnecessarily kwa kusingiziwa kabisa. Ndio maana tunasema huyu Robert Biah na Mwanasheria Mkuu wa MSD hawakutakiwa kuwepo mpaka leo hii kwasababu hawana impact yoyote kwa taasisi na integrity yao ni zeero kabisa wamekalia majungu na fitina tu.
Victoria Elangwa alitumika sana kuchafua mafaili ya watumishi ili kumharibia track record nzuri ya utumishi mtumishi husika kisa Bwanakunu au Victoria mwenyewe hamtaki huyo mtumishi. Hata kama kamati ya uchunguzi imetoa ripoti nzuri dhidi ya mtumishi lakini wao walikuwa wakiibadiridha ili iwe na mtazamo hasi. Hili genge liliumiza sana watumishi.
Tunashukuru sana kuwa huyu Victoria kaondolewa hapa MSD kwakweli tunashukuru. Ila tunaomba Robert Biah na Mwanasheria waondolewa pia. Sisi watumishi tulikuwa tuasikia kuwa huyu Bwanakunu anatembea na Victoria ndio maana wanafanya mambo wanavyotaka, hilo kwetu sio neno lakkni inapofikia mtumishi anaumizwa kutokana na hayo mahusiano yenu hii inakuwa mbaya sana.
Kibaya zaidi, ili kuwaumiza zaidi hao watumishi mbali ya makosa ya kubambikiwa pia huyu Bwanakunu na Victoria Elangwa waliamua kui-corrupt Bodi ya Wadhamini ya MSD ambayo ndio mamlaka ya rufaa ya watumishi wengi wa MSD kwa kuifanya Bodi izikatae kuzisikiliza rufaa za hao watumishi kwasababu Bwanakunu na genge lake waliju tu kuwa wageshindwashindwa. Nakumbuka jamaa zangu fulani wa kwenye kanda rufaa zao zilikataliwa kusikilizwa na Bodi for no apparent reason!
Wakati wa uongozi wa Bwanakunu na genge lake walijitahidi sana kufanya OBSTRUCTION OF JUSTICE ikitokea mtumishi anataka apate haki yake. Bodi ya Wadhamini chini ya uenyekiti wa Fatuma Mrisho ime-prove failure sana, hata wajumbe wenyewe utendaji kazi wao ni zeero kabisa na ndio maana huyu afande anawaendesha sana. Kumbuka kuna miradi afande kaianzisha bila hata approval ya Bodi, sasa hivi afande bada ya kuona kakosea taratibu ndo anakimbizana na RETROSPECTIVE APOROVAL ya Bodi, shame on them😓😓😓
Kwa maana hivyo basi, kama mamlaka ziliona kuwa huyu Bwanakunu kabambikwa makosa, basi ni vyema pia kwa mamlaka za juu pia kuyapitia upya mafaili ya watumishi waliohujumiwa utumishi wao na hili genge la Bwanakunu kwa kushirikiana na Victoria ili haki yao ipatikane, watu walikuwa wakibambikwa makosa ambayo hawakuyafanya kabisa. Pia kuna baadhi ya watumishi wamehamishiwa taasisi zingine kwa njia ya hila kabisa, watumishi ambao walikuwa ni potential kwa taasisi na kubakiza vilaza wapenda majungu kama Frank Nkone, Robert Biah
Kwa sasa ngoja niishie hapa!