Msalato International Airport

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
2,157
975
1576953581791.png

Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport

''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of integrating the continent and connecting people to markets, with an objective of lifting millions out of poverty. In this article, we will report the latest infrastructure projects in different nations, in addition to profiling mega projects undertaken by ambitious African governments.

''Tanzania airport in new capital and Rwanda’s Bugesera airport in Rwanda.

Tanzania plans airport in new capital secued a $272 million loan from the African Development Bank (AfDB) to build a new international airport at its administrative capital Dodoma. The airport will be built in Msalato, 12 km (7 miles) from Dodoma and will take four years to build, the Abidjan-based lender said in a statement.

The airport will have a capacity to handle 1 million passengers annually, though the city has a population of just over 2 million people, AfDB said. In October, the government said it had finished moving all its administrative functions to Dodoma from the commercial capital Dar es Salaam.

Tanzania’s President John Magufuli, nicknamed “The Bulldozer” for the way he pushes through projects, promised when he was elected in 2015 to reform Tanzania’s economy, which investors and opposition politicians say is held back by red tape and corruption, and said he would start a programme to develop public infrastructure. The new airport and a high-speed railway already under construction would increase development in Tanzania’s countryside, Amadou Oumarou, director of AfDB’s Infrastructure and Urban Development Department.

As of November, its lending portfolio to Tanzania stood at $2.1 billion, with just over half of it going to transport projects, according to AfDB data. Rwanda’s Bugesera airport Tanzania is not alone in the region in pumping resources to improve its air transport network. Rwanda said in early December that Qatar Airways had agreed to take a 60% stake in a new $1.3 billion international airport.

The state-run Rwanda Development Board said a first phase of construction would provide facilities for 7 million passengers a year in the Bugesera district, about 25 km south east of the capital Kigali. A second phase, expected to be completed by 2032, would double capacity to 14 million passengers a year.

The plans for the new airport are a modification of those drawn up in 2017 for a smaller facility with a maximum capacity of 4.5 million passengers a year in the same location. Company and government officials said at the time that Rwanda had signed a deal with the African division of Portuguese construction firm Mota-Engil to build an international airport at a cost of $818 million.

The country’s infrastructure minister Claver Gatete said the investment from Qatar Airways would enable it to build the larger airport. “We are looking for a bigger sized airport. That’s why we are looking for a bigger investor,” he said. Gatete said there was also a possibility that Qatar Airways would help state-run carrier RwandAir to expand, but gave no more details.''
 
Uwanja wa Chato ulitumia kiasi gani?

..Chato kabla ya Mwanza.

..Chato kabla ya Dodoma.

..tungeweza kuanza ujenzi Dodoma, halafu tukakopa fedha za kumalizia.

..hata sgr tumeanza ujenzi kwa fedha zetu wenyewe, halafu awamu zinafuatia ni fedha za mkopo.
 
JokaKuu,

Mkuu mbona unazunguka mbuyu, nataka kufahamu cost za kujenga Chato Airport ili kulinganisha cost na hizi za uwanja wa Msalato if I can be more clearer. Then we can look at cost benefit analysis.
 
Huna ushahidi hapo walikuwa wanaweka sahihi za nini kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Canada.
Hapo ‘Mkulima’ alikuwa analipwa chake ili ndege ilioyokuwa imenunuliwa iachiwe. Ndege kwanza airports baadaye!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimesoma kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa utagharimu dola za kimarekani 272 Millioni. Details zinaonyesha kuwa uwanja utakuwa na uwezo wa kupitisha watu Milioni moja tu kwa mwaka (1,000,000 passengers). Hicho kiasi cha abiria kwa mwaka ni kidogo sana kulingana na gharama za pesa hizo
Dodoma una watu Milioni mmoja, na kama viongozi wetu wameamua uwe mji mkuu wetu iweje uwe na uwanja mdogo kiasi hicho....watu milloni moja tu? Hao watalii mnaotegemea kuja kutembea watatosha kushukia kwenye hiyo airstrip(Nimeona mchoro wa uwanja....Ni wa hovyo), Tumeambiwa utakuwa na runway itakayozidi kidogo kilomita 2, hautakuwa na aircraft bridges hivyo wasafiri watashuka kwenye tarmac halafu waende kwenye jengo la abiria.....Kweli vision ya viongozi wetu ni ya hovyo na inaturudisha nyuma. Hivyo hao viongozi wanajifunza lolote? Jomo Kenyatta ni karibu sana....hata kwenda kujifunza mnashindwa? Dar eS Salaam airport upo hovyo, Zanzibar airport hovyo, Kilimanjaro Airport (Hauna quality ya International Airport) nao hovyo, Mwanza upo kama Godown la NMC, Bukoba, Moshi na Mtwara viwanja vya hovyo kabisa, Songwe Airstrip umejengwa kama Hotel hata haueleweki.
Leo bado viongozi wetu wanaendelea kufanya ujinga ujinga.....LINI MTAFANYA VITU SAHIHI. hamuoni aibu kila mnachofanya ni substandard.
Kwa hizo pesa ungejengwa uwanja wa maana sana, Mfano India wanaongeza uwanja wa Hyedarabad (Terminal 5) kwa gharama ya USD 250 Millioni ukiangalia ramani yake na ukubwa wake utaona value for money. Utachukuwa zaidi ya watu 3 millioni kwa mwaka, Uwanja wa ndege wa San Fransisco unaongezwa kwa gharama ya kiasi kama hicho, huo utabadilisha taswira ya Uwanja wa ndege mzima na kubadilisha sehemu kubwa ya majengo yaliyochoka. Sisi viongozi wetu wanawaza kupiga hela tu na ku-finance uchaguzi


Tanzania has secured USD 272 Mn to build an international airport in its capital city, Dodoma. The loan, which came from the African Development Bank, will see the East African country expand its infrastructure.
The funding consists of a USD 198 Mn loan from the AfDB, and USD 23.52 Mn from the African Development Fund. The balancing USD 50 Mn is being co-financed by China;s Africa Growing Together Fund, which is under the management of the AfDB.
Tanzania is one of the poorest-performing economies in the continent. Nevertheless, the country has sustained a relatively high economic growth over the last decade, averaging 6 to 7 percent a year.
Approximately 36 percent of Tanzanians live below the poverty line. Yet the country’s economic potential is unmistakable. Under the leadership of John Magufuli, the nation’s economy has been developing in leaps and bounds.
The new airport will be built in Msalato, which lies roughly 12 km from Dodoma. The facility is expected to handle 1 million passengers yearly. It will take approximately 4 years to complete, during which a passenger terminal, runway and related infrastructure.
An expanded air transport network in Dodoma, together with the ongoing high-speed railway construction on the central corridor, are necessary infrastructure investments to help unlock and disperse spatial development in the countryside.

This will strengthen the city’s potential as a strategic growth pole in keeping with Tanzania’ national development aspirations of fostering shared growth for all the regions,said Amadou Oumarou, AfDB’s infrastructure and urban development department director.
There are about 29 airports in Tanzania. The Julius Nyerere International Airport is the international airport of Dar es Salaam, the largest city in Tanzania. It is located about 12 kilometres southwest of the city centre. The airport has flights to destinations in Africa, Europe, and the Middle East.

Tanzania secures $272 million loan to build a new international airport with a capacity to handle 1 million passengers annually
GEORGE TUBEI
Yesterday at 2:46 PM


Nyerere square, dodoma. (TheVibe)
Nyerere square, dodoma. (TheVibe)
  • The modern airport will be built in Msalato, 12 km from Dodoma.
  • The funding package comprises a US $198.6m loan from the AfDB, US $23.52m from the African Development Fund, and US $50m in co-financing from China’s Africa Growing Together Fund.
  • The project is part of a programme to expand the East African nation’s infrastructure.
The African Development Bank ( AfDB) has forwarded US $272m loan to the government of Tanzania to construct an international airport in its capital city Dodoma.
The project is part of a programme to expand the East African nation’s infrastructure. The funding package comprises a US $198.6m loan from the AfDB, US $23.52m from the African Development Fund, and US $50m in co-financing from China’s Africa Growing Together Fund, which the AfDB manages.
“An expanded air transport network in Dodoma, together with the ongoing high-speed railway construction on the central corridor, are necessary infrastructure investments to help unlock and disperse spatial development in the countryside.This will strengthen the city’s potential as a strategic growth pole in keeping with Tanzania’ national development aspirations of fostering shared growth for all the regions,” said Amadou Oumarou, the AfDB’s infrastructure and urban development department director.
Air Tanzania  second Boeing 787-8 Dreamliner. (Twitter)
Air Tanzania second Boeing 787-8 Dreamliner. (Twitter)

The modern airport will be built in Msalato, 12 km from Dodoma. It will include a passenger terminal, runway and related infrastructure.
The new airport project will take approximately four years to complete.
Upon completion it will have a capacity to handle 1 million passengers annually and will have a runway of just over 2km in length.

Source: Pulse Live Kenya
#AFRICAN DEVELOPMENT BANK(AFDB) #AFRICAN DEVELOPMENT FUND #CHINA’S AFRICA GROWING TOGETHER FUND #AMADOU OUMAROU #MSALATO
george tubei

GEORGE TUBEIMORE FROM THE AUTHOR »
 
NENDA GOOGLE KAANGALIE, HIYO NI HOMEWORK YAKO.....MBONA KILA KITU KIMEANIKWA ? ACHA UVIVU WA KUFIKIRI.
Hapo sasa sijui yupi mvivu wa kufikiri maana bridges zipo. Pia analysis zinapaswa kwenda shule japo kidogo. Huwezi fananisha ujenzi wa uwanja mpya na expansion ya kiwanja kilichopo! Labda uwe na uelewa mdogo sana kwenye mambo ya ujenzi wa viwanja vya ndege.

Ukiangalia vizuri michoro ya Msalato kuna structures nyingine mbali na main terminal, taxing way na runway. Kwa mfano. Kuna presidential pavilion ambayo nayo inaongeza gharama kwa namna yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa sijui yupi mvivu wa kufikiri maana bridges zipo. Pia analysis zinapaswa kwenda shule japo kidogo. Huwezi fananisha ujenzi wa uwanja mpya na expansion ya kiwanja kilichopo! Labda uwe na uelewa mdogo sana kwenye mambo ya ujenzi wa viwanja vya ndege.

Ukiangalia vizuri michoro ya Msalato kuna structures nyingine mbali na main terminal, taxing way na runway. Kwa mfano. Kuna presidential pavilion ambayo nayo inaongeza gharama kwa namna yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeongelea " Value for money". Soma vizuri andiko langu. Pia idadi ya abiria watakaohudumiwa, wewe unazungumzia bridges tu. ndiyo maana nafananisha na viwanja vingine. Wewe mwenye uelewa mkubwa umejenga viwanja vingapi? Sidhani kama wewe ni analyst unayefahamu unachoongea bali unafanya ushabiki.
 
Back
Top Bottom