Msako utafanywa mlango kwa mlango kuhakikisha kila mwanafunzi amejiunga kwenye shule ya sekondari

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,745
48,375
Kenya inaipa elimu kipau mbele, hatutaki mazezeta mtaani, kila mmoja lazima akamilishe sekondari, iwe ameolewa, amezaa, anaumwa, amelemaa n.k.Wote lazima wapewe hii elimu.

=======

1577943363025.png

Education Cabinet Secretary George Magoha has cautioned parents against failing to take their children to school, saying all candidates who sat for the Kenya Certificate of Primary Education (KCPE) examination must join secondary schools.

Speaking in Nyeri County on Wednesday, the CS said the ministry would follow up on all the candidates, including those that may have been married off, to ensure 100 per cent transition is attained.

STERN ACTION

“We shall go after the parents and they will tell us why the children are not in school. If we find the children, we will take them to school ourselves and we will do it forcibly,” he said.

He warned that stern action would be taken against parents who keep their children from school.

“We will go for the parents of children who may have been married off early and forcibly take the children to school to ensure that all Class Eight candidates transit to secondary schools,” he said.

Local administrators would be roped in as part of efforts to enforce the 100 per cent transition.
“We will work with chiefs and other local administrators to spot the children who are not in school,” he added.
Last year, close to one million Standard Eight leavers joined Form One, which brought the government within touching distance of its goal to achieve 100 per cent transition from primary to secondary school.

IMPROMPTU VISIT

The Cabinet Secretary was making an impromptu visit to the homes of bright but needy children at Witemere slums in Nyeri town who are set to benefit from the National Government’s Elimu Fund.

“What I wanted to confirm is that justice has been done and the needy child has been identified.
“I was doing a personal audit and I found that the children that I visited this morning are very needy and deserving,” the minister said.

The Sh3 billion initiative was launched by the government last year and seeks to offer full scholarships to 9,000 candidates who sat for their KCPE examinations this year.

It is expected to benefit candidates from 110 disadvantaged sub-counties and 15 urban centres with informal settlements. In Nyeri Township, 35 students are set to benefit from the fund.

VULNERABLE CANDIDATES

“The President directed that we give at least 30 per cent of this scholarship to children in urban slums and it will also happen next year and other years to come to ensure no child is out of school,” Prof Magoha added.

The initiative considers candidates who obtained 280 marks and above from public primary schools in the targeted areas and vulnerable candidates like orphans, or those with special needs and disabilities who scored below 280 marks.

“The fund is meant to ensure that the very best students are able to join high school even if they are from disadvantaged backgrounds,” Prof Magoha said.

Source: Daily Nation
 
MK254,

"Every donkey should be taken to the river and forced to drink"------🤣🤣 hakuna matata lazima kila mutoto akwende shule.
 
Mtachinjana tu. Subiri uchaguzi mkuu, manaake makabila yameshaanza kujipanga.

Hivi mbona huko kwenu mumebadilisha nchi kabisa, yaani naona kila siku nyuzi zinafunguliwa za watu kutekwa, hao ni Watanzania wenzenu, ni binadamu, muwaonee huruma, balaa sana kwa kweli...dah
 
Kweli kabisa udikteta ni bora!
Udikteta umeingia Kenya!
Udikteta kivipi? Hiyo ndio sheria nchini Kenya. Tangu mwaka wa 2012, Basic Education Bill 2012 ilipopitishwa ikawa sheria, elimu nchini Kenya sio 'optional' ni 'compulsory'. Mzazi akikosa kumpeleka mtoto wake shuleni ni hatia na anaweza akahukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja au apigwe fine ya KES 100,000 au zote kwa pamoja. Hiyo sheria ni kwa elimu kwenye shule ya upili pia, pamoja na shule za msingi na chekechea. Alafu kando na kuwapeleka watoto shuleni mzazi anaweza pia akatumikia kifungo hicho hicho gerezani asipotimiza wajibu wake wa kuhakikisha kwamba mtoto wake anahudhuria shule kama inavostahili.
 
Hivi mbona huko kwenu mumebadilisha nchi kabisa, yaani naona kila siku nyuzi zinafunguliwa za watu kutekwa, hao ni Watanzania wenzenu, ni binadamu, muwaonee huruma, balaa sana kwa kweli...dah
Nimekueleza kuhusu kuchinjana wewe unaanza oh mbona huko kwenyu sijui nini, upuuzi mtupu.
 
Nimekueleza kuhusu kuchinjana wewe unaanza oh mbona huko kwenyu sijui nini, upuuzi mtupu.

Habari zinaibuka jinsi mnawateka kila siku, hao ni ndugu zenu, ni ile mumetofautiana kimtazamo tu. Halafu imekua kama kawaida, mnaiharibu nchi bro...
 
Back
Top Bottom