Msajili wa vyama vya siasa ifute ccm wanatumia silaha katika mafunzo ya vijana wake

Kicheba One

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
400
0
Leo mwigulu kwa mara nyingine amekagua gwaride la vijana wa ccm huku vijana hao wakiwa na silaha,je wamezipata wapi silaha hizo?je sheria ya vyama vya siasa iko kimyaa katika hili?ingekuwa chadema msajili angekuwa kimyaa?
 

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,611
1,250
Bro tuwekee picha wengine itv imetupita ,waache waanze sie tutamalizia kama wao wana silaha za begani natumai tutafanya gwaride na kiongozi wa ukawa watakagua ndege na vifaru.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom