Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barau nyingine CHADEMA, ataka wajieleze

Kifutwe tu hicho chama cha wahuni wakilala wanawaza uhuni wakiamka wanawaza Fujo sasa chama kilikuwa kinageuzwa cha kigaidi


Tanzania bila ugaidi inawezekana
Acha kiwewe ndugu.Utaondoka utakiacha kipo.
 
Shida ya taifa ili sio chadema shida ni ccm ambao hadi leo wameshindwa likomboa taifa toka kwenye umasikini. Sera mbovu
We mwenyewe hujakomboa familia yako,halafu unataka wengine wakomboe nini sasa!

Nyambafu kweli...CCM hata kama inatuuzi kwa mengi lakini siyo sababu ya mtu kuja na mawazo ya kijinga jinga tu,ninyi ndo wale unaye mtetea leo akiingia mamlakani kesho mnaanza kumponda,..akitoka mnasema afadhari uongozi wa fulani ulikua ni mzuri.

Jinga kabisa
 
Ofisi ya msajiri wa vyama ni ofisi ya kipumbavu kuliko zote kutokea Tanzania na imejaa wapumbavu watupu
 
Back
Top Bottom