Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barau nyingine CHADEMA, ataka wajieleze

Kama kiongozi au mtu maarufu, ni muhimu kufahamu kwamba sio kila mtu ataridhika na kazi unayofanya au kukuunga mkono katika kila kitu utakachofanya. Kwenye hili, kusemwa kwa yasiyo sahihi, kuandikwa au hata kutukanwa ni kitu cha kawaida sana. Haipendezi kuona vitisho kama hivi kwasababu wahusika wamesemwa kidogo tu na wasio waunga mkono
 
Kama shida yao ni chadema na ndiyo inayowanyima raha ya kuongoza, basi si waifute tu wakae kwa amani na raha?
Mtoto akiwa na miaka 6-7 anatumia asilimia 80% ya ubongo wake (akili) wachina baada ya kuligundua hilo wanahakikisha kwa umri huo wanawaweka pamoja na kuwalea kwa taaluma mbalimbali 'they incubate and module them*
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Acha kuikweza Chadema mahala isipo stashiki. Nchi itachafuka kwa lipi? Mwenyekiti alikamatwa kama kuku wa mdondo na muda huu ananyea ndoo Segerea, nchi ipo tulii. Kitu gani kingine cha kusubiri unacho dhani kitakacho fanya nchi ilipuke?

Yamebaki makapi aliyo yataka Mwenyekiti ili aya burure kimaamuzi, sasa anavuna hasara ya uongozi ulio upandikiza. Chama hakina viongozi, ila sana sana wapiga kelele.

No proper organisational activities, nor directional meetings and conferences, nor proper strategy to advance what made chadema chairman to be in jail, nor daily activities to make the agenda campaign live or active. Hata daily updates za hali ya Mwenyekiti huko jela, iwe kwenye mitandao,redioni na kwenye TV kuamsha ari ya wana Chadema? Makapi ya Ufipa yanafanya kama mwenyekiti kaenda Serena kunywa kahawa.

Jazana mitandaoni bure kabisa.
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Chadema kwa ujumla imepoteza mwelekeo wa siasa kwani mpaka sasa uongozi wake haupo centralized kila kiongozi anatoa kauli za ajabu ajabu.
Hizi kauli za matusi na kejeli dhidi ya viongozi waandamizi wa serikali akiwemo na Mheshimiwa Rais zitazidi kukichafua Chadema na mwisho kwa maslahi ya umoja na usalama chama hiki kitafutwa.
 
Huyu msajili mgeni Nchi hii kipindi Cha kina Heri James , Polepole,Kibajaji na kina KIHONGOSI KENANI wanatoa lugha za chuki aliwahi kuwaansikia barua CCM?

Chadema wasimjibu Kama walivyo mpotezea barua ya mwanzo,Kama vipi aifute.
Kazi ya kulinda tongue siyo rahisi pia. Ila Siku zake zinahesabika. Maana hata afanye he ni lazima atoswe tu ili wajifanye kama vile wanasafisha.
 
Aifute Chadema, kama anao huo ubavu!
Mkuu 'Mystery' usiombee iwe hivyo!

Hakuna linalowashinda kufanya hawa watu. Hawana mipaka inayowazuia kufanya lolote.

Omba sana wasikusome ukiyasema hayo maneno.

Ni bora kunyamaza kimya kimya, tukitegemea hawatatimiza hayo wanayotishia kuyafanya.

Uwepo wa CHADEMA sasa hivi ndiyo njia iliyobaki ya kuwazodoa hapa na pale, tukitegemea hatimaye itapatikana njia sahihi ya kuwaondoa hawa wakoloni.
 
Hivi huyu mtu anafanya kazi gani kila siku,anasajili nini mwaka mzima?
Hana Kazi nyingine zaidi ya kuiandikia Chadema upumbavu
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Huyo mzee kesha kamatwa na polisi, msajili anataka maelezo, mambo juu ya mambo!
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Mbona hiyo misemo NI ya Kiswahili wala si ya mitaani Kama anavyo dai?
 
Mbona imeandikwa kama a "Love Letter"
 
Ni upotevu wa hela za walipa kodi kwa kuwa na ofisi ya ovyo kama ya msajili
 
Back
Top Bottom