Msajili wa Vyama vya Siasa aunda kikosi kazi

Si kweli kuwa walioteuliwa wote walihudhuria kikao, kwani Shekhe Alhaji Juma wa Dar alihudhuria?
Rudia kusoma hiyo barua. Au pata hoja hizi za msajili.
“Siku ya kwanza ya mkutano tulisema tutajitahidi sana kuanzisha kikosi kazi, pili tulisema kikosi kazi kijaribu kuangalia waliohudhuria, hatuwezi kugusa wote, lakini tukasema tutengeneze kitu ambacho kimekuja na sura hiyo,”

Alipoulizwa kwa nini vyama ambavyo havikushiriki kwenye mkutano wa Dodoma havina wawakilishi, Jaji Mutungi alisema walishajitenga.

“Sisi hatutaki kwenda na watu ambao unawateua, halafu waje waseme hatutaki. Watu wameshasema hawataki, halafu uwateue, kusudi waje waseme hatutaki kuingia kwenye hiyo kamati?

“Lakini kwa sababu masuala ya siasa ya nchi hii, wadau ni walewale, kitu ninachowasikitikia hawatapata nafasi ya kushiriki,” alisema.
 
Back
Top Bottom