Bablemuba
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 131
- 113
hayo ni matango vichaka mkuuuWenzako huko CCM upunguani ndiyo sifa kuu ya kuwa mwanachama
hayo ni matango vichaka mkuuuWenzako huko CCM upunguani ndiyo sifa kuu ya kuwa mwanachama
Kwani wamefukuzwa ? Si bado ni wabunge wa viti maalum kupitia CHADEMA ?
Baba yako akikufukuza unaenda kushitaki kwa msimamizi wa ndoa ya baba yako?ndugu Kigaila umekosea sana, ulipaswa ujibu barua ya Msajili wa vyama kwani tunajua kuwa Msajili ndio mlezi wa vyama vingi, hivyo anapo pokea au kusikia malalamiko ya wanachama wenu unatakiwa kimsingi ujibu hoja sio kukwepa hoja...
una pata wapi ujasiri wa kumuita Kamanda Mdee na makamanda wenzake eti ni Covid?!
hujui kama hao mnao waita covid 19 wanauwezo wa kuiteketeza kabisa chadema?...
Chama kimejaa vichaa sema hamjuani kua wote ccm vichaaMbowe hawezi kuwafukuza mademu zake haposhida ni kwa wengine walioshindwa kuingiza mademu zao chadema ni li chama la hovyo kuwahi kutokea duniani
Huyu vipi katoroka lini Mirembe?Mbowe hawezi kuwafukuza mademu zake haposhida ni kwa wengine walioshindwa kuingiza mademu zao chadema ni li chama la hovyo kuwahi kutokea duniani
😂😂😂😂Chama kimejaa vichaa sema hamjuani kua wote ccm vichaaView attachment 1854138
Lingine bila kupoteza mda msajili, awaulize pia hao 19 wanaojiita wabunge, walifikaje bungeni, wakati form zao walizotakiwa kujaza, zipo ofisin zinaoza, na walizojaza walitoa WAPI, ??Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu...
Kwema huko,naskia mic huwekwa sikioni,shida ya msajili nae chizi kama aliemteua....sio maneno yangu dialo ndio kasemaHuo ubabe na mfumo dume unaonyeshwa wazi wazi kabisa watu fulani kukosa ubunge imekuwa nongwa wakataka hadi yule dada wa Mpanda Katavi amechaguliwa na wananchi vizuri eti asiende bungeni na kitu kingine hayo majina ya wabunge 19 ofisi ya tume ya uchaguzi yalifikaje kama sio chama kilichopeleka halafu mnataka wasiende kuapishwa na baadae mnasema sio wanachama wenu, huu ni ubinafsi na ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake katika kushiriki shughuli za kisiasa.Bunge lisimamie msingi wake wa kutoingiliwa na mtu au taasisi yoyote katika utekelezaji wa shughuli zake.
Ofisi ya msajili Ina matatizo makubwa sana.Chadema siyo chama Cha kwanza kufukuza wanachama wake. Bernard K. Membe alipofukuzwa CCM hatukusikia msajili wa vyama vya siasa akiitaka CCM itoe maelezo kwa Nini imemfukuza membe. Sheria zifuatwe bila upendeleo. Kwa Nini chadema leo?...
mkuu.kwan hatua zozote amabzo zimelalamikiwa juu yaoOfisi ya msajili Ina matatizo makubwa sana.