msema_kweli
Senior Member
- Nov 6, 2013
- 178
- 101
Kazi ya msanjili wa vyama vya siasa ni kulea kwa lugha nyepesi tunaweza kumwita baba wa vyama vya siasa nchi,kwa sasa ni muda muafaka wa yeye kuwaita viongozi wa chama cha cuf mezani kwake na siyo kusubiri watu wa chinjane ndipo aingilie kati huu mgogoro ulipofika kwa sasa ni pabaya sana kwa usalama wa wanacuf wenyewe kwa wenyewe na kwa sababu ni watanzania wenzetu ni vema tukatoa tahathari mapema,watu wengine wanaoweza kutatua huu mgogoro ni viongozi wetu wa dini wasisubiri majanga yatoke ndipo watoke na matamko ya kulaani vikali ambayo hayatasaidi kwa wakati huo binafsi ninaamin hakuna mtu atakaye nufaidika na huu mgogoro bali itakuwa ni kuchafua tu sifa ya nchi yetu kimataifa