Msajili wa Vyama vya Siasa adaiwa kumtaka Mnyika aandike barua ya maelezo kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu Rais Samia

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,484
86,000
Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.

Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!

1628830351138.png
 
Yale yale ya Mwendazake!

Hapa tu-connect dots na uamuzi wa kulifungia gazeti la Uhuru.

Nahisi inatafutwa sababu ya kuifuta CHADEMA huko mbeleni, ila naamini Mungu kamwe hatoruhusu hilo litokee.

Tuendelee kuamini- kwa wanaoamini- Mama anapotoshwa?

Naiona CHADEMA ikipata support ya dunia kama ilivyokuwa ANC wakati wa utawala wa Makaburu huko Afrika Kusini.
 
Huyu domo kaya si mara ya kwanza kuwaita rais waongo halafu yeye ndio muongo.
 
Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.

Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!

Ukweli ulio wazi ni kuwa ccm na vyombo vyake vyote saidizi ndio wanaotuharibia taifa letu,siku tukiamka kutoka usingizini ndio tutakapo yabaini haya, sio polisi, sio nec, sio mwewe,sio karani wa vyama, wote wametanguliza maslahi binafsi na matumbo yao mbele na siomaslahi ya taifa hili.
 
Kwanini wanahangaika hivyo,kwanini wasifute vyama vya upinzani tubaki na chama kimoja.
Covid 19 Bungeni kwa uongo wa CCM mbona hakuwa upande wa chama kinachowatambua.
Mtungi futa vyama vya upinzani
 
Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.

Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!

Apewe list ya yote ya mauongo aliyosema Mtukufu.

Definition ya neno uongo ni muhimu sana. Yaani:

"Kutokusema kweli, kupotosha ukweli, kutomtendea haki mtu kwa maneno, kutaka kumdhalilisha mtu kwa maneno yasiyokuwa kweli."

Muhimu ikakaziwa, "uongo usipoitwa kwa jina lake hadi aliyeutoa akadhalilika, jamii itajua ni ukweli."

Pia uongo, "ni dhambi kwa Mungu na pia kwa kutouita uongo kwa jina lake. Kwa kufanya hivyo itawagharimu viongozi na wanachana wa Chadema kutokwenda mbinguni, ambako hawako tayari kutokufika kwa sababu yoyote."

Mwisho wa majibu.
 
mwendazake angekua hai tungeambiwa kwamba yeye ndo kamutuma,na hapo lawama zote zingeelekezwa kwake.
 
Yale yale ya Mwendazake!

Hapa tu-connect dots na uamuzi wa kulifungia gazeti la Uhuru.

Nahisi inatafutwa sababu ya kuifuta CHADEMA huko mbeleni, ila naamini Mungu kamwe hatoruhusu hilo litokee.

Tuendelee kuamini- kwa wanaoamini- Mama anapotoshwa?

Naiona CHADEMA ikipata support ya dunia kama ilivyokuwa ANC wakati wa utawala wa Makaburu huko Afrika Kusini.

Yawezekana tumepoa sana. Pana haja ya kupeleka moto. Wanadhani kuna kupoteana.
 
Kwanini wanahangaika hivyo,kwanini wasifute vyama vya upinzani tubaki na chama kimoja.
Covid 19 Bungeni kwa uongo wa CCM mbona hakuwa upande wa chama kinachowatambua.
Mtungi futa vyama vya upinzani
Vinatakiwa vifutwe vyote kiundwe chama kimoja maana hakuna chama chenye hati miliki ya nchi.vyama vyote vina sifa sawa za usajili.tofauti tu nikwamba ccm imerithi nchi toka ukoloni lakini hiyo sio sababu yachenyewe kua mmiliki wa nchi.
 
Hili kada la CCM au msajiri wa Vyama? hawa watu hawako serious na wanafikiri kila mtu mjinga kama wao
 
Back
Top Bottom