Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Nasema uache kujipendekeza kwa CCM kwasababu mgombea wo wa uraisi ameshawatisha wananchi lakini hukuchukua hatua yoyote.
Mgombea wa CCM anawaambia wananchi wasipochagua CCM watajuta na hatawaletea maendeleo. Mlichukua hatua gani?
Kuna vyama viliunga mkono mgombea wa CCM lakini mlikaa kimya. Vingine havikusimamisha kabisa mgombea wa uraisi ili kumuunga mkono JPM.
kwanini sasa ACT wanaposema wanamkubali Lissu muanze kuwaandikia barua za kujieleza? Msitake kutuletea machafuko yasiyo ya lazima.