Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania.

Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo.

Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha uchaguzi ili tupate uongozi maana tunayumba hovyo.

Wewe huku hapakufai ,endelea na ushauri kuhusu mapenzi na uhusiano ndio sector yako ,huku kwenye siasa unapuyanga.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom