Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,928
- 6,467
Usiogope, kikifa kuna vyama vingi utahamia tu. By the way huwa mnataka kife.Chama chetu kinakufa
Usiogope, kikifa kuna vyama vingi utahamia tu. By the way huwa mnataka kife.Chama chetu kinakufa
Lakwanza kamanda mchovu.Kamanda uliishia la ngapi?
Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania.
Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.
Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo.
Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha uchaguzi ili tupate uongozi maana tunayumba hovyo.
Vipi upande wa majangili wao wanafanyajeMnashauriwa wanachama wa chadema mnaanza kutukana tukana