Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,165
4,581
Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania.

Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo.

Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha uchaguzi ili tupate uongozi maana tunayumba hovyo.
 
Acha ujinga,ili tukuchaguewewe mamluki au,ndio sababu ya kumbambikia ili mlete yale ya buguruni na Leprofeserer sio.
 
Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania.

Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo.

Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha uchaguzi ili tupate uongozi maana tunayumba hovyo.
Weka picha ya kadi yako hapa tuwe na uhakika kuwa wewe ni mwanachama halisi na hai wa Chadema.
 
Kamanda turudi kwenye zile mada zetu za mipini, huku tuwaachie wenye akili timamu.
 
Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania.

Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo.

Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha uchaguzi ili tupate uongozi maana tunayumba hovyo.
Dogo Hawa waliopo ni moderate. Watakuja radical hapatatosha
 
Back
Top Bottom