Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema

Tutazipiga
Vizuri na vipi ile kauli aliyoitoa Bashiru kule Zanzibar kuhusu kumwambia msajili kama akiitwa na mabeberu akienda kuzungumzia uchaguzi wa serekali za mitaa hana kazi mbona mpaka sasa hajalizungumza hilo
 
Msajili awe anafuatilia kwa makini chaguzi za ndani za CCM pia. I mean chaguzi za nafasi ndani ya chama chetu

Mengi yanakiukwa ila maisha yanasonga mbele
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.

Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.

Chanzo: Gazeti la Jiji

Maendeleo hayana vyama!
 
Nimepata mashaka kuwa kuna wanachama na washabiki wa CCM wanadhani uchaguzi mkuu wa Chama tarehe 18 Desemba ni kuchagua viongozi wa CCM.
Maana wanaohangaika mitandaoni sana kuhusu safari ya kuelekea huko ikianzia Kanda ni kutoa matamko ni wao na hata Msajiri kesha ingia mkenge na mihemko hiyo pia.
Kama RAIA mwema niwashauri kuwa ili kuepusha madhari kama shinikizo la moyo na mengine ya aina hiyo watulie, uchaguzi huo ni wa Chadema na waachwe waendelee nao maana wao wenyewe wame relax mambo yao yanakwenda bila jasho.
Hata hapa JF threads zaidi ya 30 ziko hewani kuhusu uchaguzi na zaidi ya 75% zimeanzishwa na wakereketwa wa ccm tena wakionyesha wana mhemko utadhani kuku anataka kutaga.
 
Unaweweseka sana mkuu!

Uhuni unaendelea hapo ufipa ndio unafanya ccm iendelee kutawala.

Hebu niambie upya wa hao wateule wenu kama wameshindwa kuivusha chadema Kwenda Ikulu kwa miaka yote hiyo? Wana nini kipya?
 
Kwa fikra zako Chadema imeshindwa kutoa ushawishi kwa RAIA au imezuiwa na nguvu za dola?
Chadema ikiona njia ya kisiasa inazuiwa kwa nguvu za dola ungependa itumie plan B kama zilivyotumika nchi za kaskazini mwa Afrika?
 
Msajili huyuhuyu ndie dhulumati mkubwa wa demokrasia Tz.
Msajili huyu ndie alihalalisha hujuma za kuwaengua wapinzani ktk uchaguzi wa majuzi!
Msajili huyuhuyu ndie anabariki wabuinge wa upinzani kuenguliwa na kuitisha chaguzi za kidhulumati kabisa!
Huyu ni msajili mtetezi wa ccm na sio msajili wa vyama vyote Tz
 
Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji mambo manne: Watu, ardhi, siasa safi, na uongozi bora. Kwa sasa tuna watu na ardhi. Lakini tumegubikwa na siasa chafu na uongozi fake!
 
Ulitaka Mabeberu Ndio waingilie Uchaguzi wetu?
Vizuri na vipi ile kauli aliyoitoa Bashiru kule Zanzibar kuhusu kumwambia msajili kama akiitwa na mabeberu akienda kuzungumzia uchaguzi wa serekali za mitaa hana kazi mbona mpaka sasa hajalizungumza hilo
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.

Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.

Chanzo: Gazeti la Jiji

Maendeleo hayana vyama!
HIVI HUYU TUNGI NI "MSAJILI" WA VYAMA AU CDM? Mbona anawashwa washwa????!!!!!
 
Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema

Tutazipiga
Kwani 'kupita bila kupingwa' ktk uchaguzi wa ndani wa CDM ni haramu? Kwanini mliopo nje ya ulingo mnasononeka zaidi na uchaguzi huu?
 
Back
Top Bottom