Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, John Tendwa: Katiba Mpya itaondoa migogoro ya Uchaguzi. Kwanini Rais hapingwi Mahakamani?

Ni kweli hii nchi inahitaji katiba mpya na watz wanahitaji katiba mpya na demokrasia ya kweli ila watawala wa CCM hawana haja nayo. wana hiyari tufe lakini haikubali katiba inayotokana na wananchi.kwani matatizo makubwa yapo wapi?. Sote tunajuwa tatizo ni CCM.
 
Back
Top Bottom