Msajili hivi vyama vimefanya lini uchaguzi wake?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,297
33,909
Hadi majina ya hivi vyama nilishayasahau lakini kumbe bado vipo. Ni lini hivi vyama vimefanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wake?

DP, NRA, AFP, Demokrasia Makini, UDP, ADC, Ada- Tadea, Sauti ya Umma (Sau), TLP, CCK na UMB ni lini vilichagua viongozi wake?
 
Kama hiki NMB sijui Umb ndio kile bendera yake inarangi ya mashuka ya monchwari
 
Hadi majina ya hivi vyama nilishayasahau lakini kumbe bado vipo. Ni lini hivi vyama vimefanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wake?

DP, NRA, AFP, Demokrasia Makini, UDP, ADC, Ada- Tadea, Sauti ya Umma (Sau), TLP, CCK na UMB ni lini vilichagua viongozi wake?
Ongezea na Ccm maana mwenyekiti huwa hana mpinzani
 
Kiuhalisia ukienda huko vijijini ukiwauliza wananchi wakutajie vyama vya siasa basi watataja ccm,chadema,nccr,cuf na ACT basi na hata hii ACT bado wengine hawaifahamu.
Ila mbali na hapo hivyo vyama tajwa hapo juu nadhani ukiwauliza watanzania kama wanavifahamu basi nadhani ni asilimia 30% ndio watajibu ndio.
Ni muda sasa umefika hivi vyama viungane pamoja, kipatikane chama kimoja cha upinzani kinachoweza kumng'oa huyu jamaa anayejiita CCM. Mbali na hapo tutaendelea kuimba kila siku bila wimbo ule ule.
 
Hadi majina ya hivi vyama nilishayasahau lakini kumbe bado vipo. Ni lini hivi vyama vimefanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wake?

DP, NRA, AFP, Demokrasia Makini, UDP, ADC, Ada- Tadea, Sauti ya Umma (Sau), TLP, CCK na UMB ni lini vilichagua viongozi wake?
Kwani hivi ni Chadema! Msajili anahusika na Chadema tu na ni pale Chadema inapokuwa na kukurukakara za mambo mengine mazito ndipo naye utamsikia kajitokeza kuwayumbisha, huu ndiyo mtindo wa kufanyakazi kwa maelekezo.
 
Hadi majina ya hivi vyama nilishayasahau lakini kumbe bado vipo. Ni lini hivi vyama vimefanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wake?

DP, NRA, AFP, Demokrasia Makini, UDP, ADC, Ada- Tadea, Sauti ya Umma (Sau), TLP, CCK na UMB ni lini vilichagua viongozi wake?
Ha ha ! huyu ni Msajili wa ''chadema''. Kila siku akilala na kuamka anafikiria atakavyotumika kuhujumu

Hivi unauliza chaguzi za vyama hivyo! Watu wamekatwa mapanga kutokana na siasa chini ya uangalizi wake , alikaa kimya kuibuka tu na barua kwa Chadema

Ofisi hiyo ni tawi kama Uvccm au UWT ! shame! ni aibu sana
 
Back
Top Bottom