Msaidizi wa ofisi anahitajika

NAFASI YA KAZI

kampuni ya wachina ya SHIWEHA MINING AND TRADING COMPANY
LIMITED.
inatangaza nafasi mmoja ya kazi (msaidizi wa ofisi)

Sifa za muombaji

Awe na Diploma au Degree
uwe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza vizuri.

Msichana atapewa kipaumbele.

Kama utakua Dar itakua fresh ukanitumia cv yako sasahivi then Juma tatu morning ukaja kufanya interview.

Salary 500,000/=

0764531080 tuma cv yako
tryphonefrank@gmail.com au info@shiweha.co.tz
Nipo Mwanza vipi naweza omba?
 
Haha mshahara ni laki tano tu It's too good to be true kuna watu wanavigezo mpaka vimepitiliza are also fluently in Chinese.
 
NAFASI YA KAZI

kampuni ya wachina ya SHIWEHA MINING AND TRADING COMPANY
LIMITED.
inatangaza nafasi mmoja ya kazi (msaidizi wa ofisi)

Sifa za muombaji

Awe na Diploma au Degree
uwe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza vizuri.

Msichana atapewa kipaumbele.

Kama utakua Dar itakua fresh ukanitumia cv yako sasahivi then Juma tatu morning ukaja kufanya interview.

Salary 500,000/=

0764531080 tuma cv yako
tryphonefrank@gmail.com au info@shiweha.co.tz
Mkuu nipo. frank oluomba
Diploma ya mining engineering
0714894219
 
Mkuu..HUNA shida na kazi wewe...Wenye shida wanajua chakufanya...Sasa email kuwa na jina lake Ni kosa?
Na ndomana watu walikuwa wanaibiwa brightermonday hivi hivi... ukiwaza kupata mshahara kwenye kuomba kazi ni rahisi kuibiwa ikiwa hautazingatia vitu vya muhumu kama contact na address ya kampuni husika koz at the end utaambiwa tuma kiasi fulani cha pesa na ww utatuma si kwa kuwa unashida na kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom