Msaidizi wa ndani anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaidizi wa ndani anahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bwegebwege, Oct 10, 2010.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  :A S 465:Wana JF

  Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
  SIFA

  1. Awe muaminifu
  2. Awe anapenda watoto na anafahamu kuwalea watoto wa kuanzia chini ya mwaka mmoja
  3. Mwenye nidhamu, Upendo kwa watoto na familia
  4. Msafi wa mwili na mavazi
  5. Anayejua kupika na kukarimu wageni
  6. Mchapa kazi, anayezingatia sana usafi wa mazingira
  7. Asiwe muhuni
  8. Mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini na ya jamii kwa ujumla.
  9. Awe na mtu wa kumdhamini
  10. Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa) au matatizo ya "kiswahili" (majini etc)
  Kama kuna mtu mwenye kufahamu binti anayetafuta/anayefaa kwa kazi hiyo naomba tuwasiliane naye kupitia hapa JF au kwa email hasnatiyaM2010@gmail.com
  -
  Endapo atapatikana mwenye kuhitaji kazi hiyo basi, uhakiki wa asili na wasifu wak eutafanyika kabla hajaanza kazi.
  - Familia inayohitaji msaidizi ni ya kikristo na inayothamini sana dini.:loco:
   
 2. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  BB kwanini huweki angalau kianzio?
  Huyu niliye naye ana elimu ya Form 6 na hayo uliyoyasema yote anayo,alikuwa anafanya kazi kwa mama aliyekuwa ubalozi wa Japan-TZ,ni mkristo Roman. Amewahi kukaa Dubai na Japan. Anasema kama atakaa kwako anaomba alipwe laki 3 na kama atakaa kwake alipwe laki 4 kama unaona atakufaa ni Pm au mtumie email 1 kwa amoja halusiakiito@yahoo.ie
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Huyo ndugu yako anatakiwa awe nazo kwanza hizo sifa yeye! asije kuwa kisirani na roho mbaya.
  im jockin buddy!
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  Mnasema hakuna udini TZ?na hiyo ya sifa mkristo ni nini?
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkulu, udini upo.
  Ila kwenye tangazo wamesema "mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini" hawajasema dini gani! maelezo ya familia ya kkristo ni maelezo ya familia...kama mwenye kutaka kazi ajue kabisa kuwa anaenda kwa wakrito (nadhani!). Ila kwa ujumla udini upo, hasa kwa ndugu zetu waislam...(usiniponde mawe-mimi si mkristo!)
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  mshahara ni kiasi gani,makazi ni yapi?
  Mimi pia natafuta maid ila sifa ulizotaka sijui utaapata wapi,maids wengi hawana sifa hizo
   
Loading...