Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Wakuu,

Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.

Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.

Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.

Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.

More to follow
Hili mngepepeka kwenye jukwaa la hoja mchnganyiko. Visa vya kunyang'anyana wanawake sio siasa.
 
ni kwamba hao wanaokuja na silaha inawezekana ndio wale waliomvmia yule tajiri wa zakaria alipowazidi nguvu kwa kuwachapa risasi ndio wakajisalimisha kuwa ni maafisa ila wakikuzidi nguvu wanaitwa wasiojulikana
Hiyo ipo wazi mkuu
 
Wameanza kukulana
Sheria ya mambo ya laana ndivyo ilivyo....unaweza kulala na watoto wa wenzako weee ukajiona mshindi ila mwishoni utaona kwa nini usijaribu na wa kwako uonje utamu wake...hiyo ndiyo laana
..kitu laana huwa kinatambaa...!! Ni kitu hatari mno.

Mwalimu alituwosia kwamba ukianza kula nyama ya mwanadamu wenzako huwezi acha....
 
Very true indeed!

Uache tabia za KIZUSHI!!

Allan ana akili Za Kitoto Sana, Allan Nimepishana Nae Hapa Segerea Na Kagari Kake Halafu Anasema Ametekwa?
 
Back
Top Bottom