Msaidieni mawazo huyu mwanamke.

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
5,247
5,315
Za weekend wana jf? naomba niingie kwenye lengo la uzi moja kwa moja...
Iko ivi kuna mwanamke ni jirani yangu na ni mke wa mtu,ni mama wa mtoto mmoja anaenyonya,sasa katika mishemishe za ndoa akajikuta anapata mimba akiwa bado na kichanga katika kushauriana na mwenzake ikabidi wakubaliane kua wachomoe mimba,kweli wakatafuta vidonge wakatumia leo hii,sasa kitu ambacho jamaa hakufanikiwa kupata jibu ni jinsi yule mtoto aliehai kama hatodhurika na zile dawa,hapa nipo na mshkaji ndo ananipa full story nikaona si vibaya kumsaidia kwa kuwaleteeni wataalamu ili tumsaidie mawazo mke wake ajue namna ya kumnyonyesha mwanae Pas na kumpa madhara kichanga wake,bila ya kuanza kulaumiana tumsaidie kwanza lawama baadae.
 
Ndenda hosptali tafadhali pia wacheni mchezo wa kucheza na afya zenu mtakufa kizembe kwa utashi wenu nasio Mungu.
 
Za weekend wana jf? naomba niingie kwenye lengo la uzi moja kwa moja...
Iko ivi kuna mwanamke ni jirani yangu na ni mke wa mtu,ni mama wa mtoto mmoja anaenyonya,sasa katika mishemishe za ndoa akajikuta anapata mimba akiwa bado na kichanga katika kushauriana na mwenzake ikabidi wakubaliane kua wachomoe mimba,kweli wakatafuta vidonge wakatumia leo hii,sasa kitu ambacho jamaa hakufanikiwa kupata jibu ni jinsi yule mtoto aliehai kama hatodhurika na zile dawa,hapa nipo na mshkaji ndo ananipa full story nikaona si vibaya kumsaidia kwa kuwaleteeni wataalamu ili tumsaidie mawazo mke wake ajue namna ya kumnyonyesha mwanae Pas na kumpa madhara kichanga wake,bila ya kuanza kulaumiana tumsaidie kwanza lawama baadae.
Huyo anayenyonya ana umri gani? huo ni uamzi mgumu kupindukia.so wameamua kuua siyo mtoto wao kwa kushirikiana siyo.maana tayari hiyo ilikuwa ni nafsi hai.
Anyway wakatubu maana hiyo damu ya huyo mtoto itaendelea kuwalilia.
 
Ana miezi7 kwa maelezo ya mshkaji
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom