Msaidieni dada huyu

isack raphael

Senior Member
Oct 26, 2013
139
30
Habari zenu....
Kuna mdada kaomba nimuweke humu, lengo lake..
Anatafuta kazi yeyote hata msaidizi wa ndani (house girl) anamudu kufanya kazi hiyo...yuko tayari hata kuishi hukohuko job au kurudi kwao.

Ushahidi wangu kwake.
Naamini anaweza kufanya kaz pia ni mwaminifu,mchapakazi na anajali zaidi anapenda watoto hivyo kama unahitaj msichana kuwa na amani juu ya huyu.

Umri wake ni miaka 23 na anaishi dar es salaam.

Msaidieni tafadhari.
 
23 mh! Anauelewa wa mpaka elimu gani, pia anaumbo kubwa au la wastani... Coz nauitaji wa mtu wa kaz.
 
23 mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhh ............................!!!
Ningemshawishi wife amchukue ila kwa umri huo naogopa kusingiziwa kuwa nimemletea mke mwenzie ndani ya nyumba
 
Ningemshauri atafute bwana tu aolewe kwa huo umri kuwaza kazi zandani atachukua mda kupata hasa kwetu sisi wabongo, wana mama walio wengi hapa dar wanaamini ukimuajiri dada wa kazi mkubwa anaejielewa atakuja kuwa mke mwanza hivo hawataki kabisa watu wazima. Labda nenda Masaki kwa watu weupe kidogo
 
Habari zenu....
Kuna mdada kaomba nimuweke humu, lengo lake..
Anatafuta kazi yeyote hata msaidizi wa ndani (house girl) anamudu kufanya kazi hiyo...yuko tayari hata kuishi hukohuko job au kurudi kwao.

Ushahidi wangu kwake.
Naamini anaweza kufanya kaz pia ni mwaminifu,mchapakazi na anajali zaidi anapenda watoto hivyo kama unahitaj msichana kuwa na amani juu ya huyu.

Umri wake ni miaka 23 na anaishi dar es salaam.

Msaidieni tafadhari.

experience yake vipi na je papuchi ataweza kutoa au anakaza bongo people views in hg lifestyle..
 
Ningemshauri atafute bwana tu aolewe kwa huo umri kuwaza kazi zandani atachukua mda kupata hasa kwetu sisi wabongo, wana mama walio wengi hapa dar wanaamini ukimuajiri dada wa kazi mkubwa anaejielewa atakuja kuwa mke mwanza hivo hawataki kabisa watu wazima. Labda nenda Masaki kwa watu weupe kidogo

Naiamini jf bila shaka atafanikiwa.
 
Habari zenu....
Kuna mdada kaomba nimuweke humu, lengo lake..
Anatafuta kazi yeyote hata msaidizi wa ndani (house girl) anamudu kufanya kazi hiyo...yuko tayari hata kuishi hukohuko job au kurudi kwao.

Ushahidi wangu kwake.
Naamini anaweza kufanya kaz pia ni mwaminifu,mchapakazi na anajali zaidi anapenda watoto hivyo kama unahitaj msichana kuwa na amani juu ya huyu.

Umri wake ni miaka 23 na anaishi dar es salaam.

Msaidieni tafadhari.

anaishi wapi sasa hivi?

Muhimu:

dini gani?

sijaribu kuwa mdini lakini mimi na mke wangu ni wakristo, tumeokoka. tunahitaji mtu hata kama hajaokoka bado lakini wa upande huu, i mean mtu tutaekua tunaenda nae church, tunafanya ibada nyumbani na vitu kama hivo bila yeye kukwazika
 
Habari zenu....
Kuna mdada kaomba nimuweke humu, lengo lake..
Anatafuta kazi yeyote hata msaidizi wa ndani (house girl) anamudu kufanya kazi hiyo...yuko tayari hata kuishi hukohuko job au kurudi kwao.

Ushahidi wangu kwake.
Naamini anaweza kufanya kaz pia ni mwaminifu,mchapakazi na anajali zaidi anapenda watoto hivyo kama unahitaj msichana kuwa na amani juu ya huyu.

Umri wake ni miaka 23 na anaishi dar es salaam.

Msaidieni tafadhari.

maelezo hayajitoshelezi na hujaainisha mahali,unapatikanaje vitu kama hivyo(FUNGUKA)
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom