Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,710
Timu ya taifa taifa stars inajiandaa kukwea Pipa ikiwa na msafara wa tu 80kuelekea cameroun kwa mechi ya marudiano jumamosi ijayo.
Hivi jamani tujiulize huu msafara wa watu 80 wa nini? gharama za tiketi tu ya ndege ya shirika rahisi kama KQ ni Tsh 1.5m kwa mtu mmoja.....kwa 80 approx 120m....bado gharama nyingine wakiwa huko.....