Msafara wa Waziri mkuu waifanya Dodoma Jiji kufika uwanjani na bodaboda

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Mechi ya leo Mtibwa vs Dodoma Jiji, Dodoma Jiji wamefika uwanjani wakiwa wamepanda bodaboda.

Benchi la ufundi ilipohojiwa wamesema wamechelewa kufika kwasababu kulikuwa na foleni ya msafara wa waziri mkuu kwahiyo ikabidi waache gari wachukue bodaboda
 
Hii misafara huwa inaumiza sana ratiba za watu, huo wa waziri mkuu... Usikutane na wa Rais..
 
Alafu hao viongozi wanafahamu kuwa Dodoma now ni jiji na makao makuu ya serikali, kwa nini wasiwe na ratiba ya kujua leo kuna nini jijini ili kuepuka usumbufu?.

👉🏾 Siyo kila siku ni jumamosi.
 
Back
Top Bottom