Tatizo wachaga wakienda kwao wanarudi na magari yao. Wahaya wenyewe wanayaacha hukohuko wanakuja kutafuta mengine. Nshomire wanambwembwe sana
Wahaya bila kufiwa huwa hawaendi nyumbani. Bukoba humo hata usafiri wa shida sana. Waende wakawasaidie na wale waliopatwa na maafa.Tatizo wachaga wakienda kwao wanarudi na magari yao. Wahaya wenyewe wanayaacha hukohuko wanakuja kutafuta mengine. Nshomire wanambwembwe sana
Tuanzie hapo sasa...labda tuseme ni uchumi mchundo...Umesema ndiyo washika uchumi wa hii nchi kwa biashara ipi au kwa uwekezaji upi?