Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Je, walienda kwa dhania ya Kumuaga Rais Mstaafu Hayati Mzee Mkapa au walienda ili Kujitangaza zaidi Kisiasa na Kumuonyesha Mgeni Mwenyeji?

1. Kama ni hivi, ina maana kila aliyeenda msibani alikwenda kujitangaza a.k.a kutafuta "kick"....

2. Maelezo ya Makene yako very clear, kwamba wana barua iliyotumwa kwao ikionesha itifaki yote ya jinsi ya kufika, kuingia na namna ya kukaa pale....

Sasa why wazuie watu kwenda kuaga?
 
Kwamba kwakua Rais kafika, basi hapa mimi sitakiwi kuingia?

Ukiachilia mbali mwamvuli wa siasa. hao ni wananchi wakawaida na Watanzania.
Waliambiwa wakapange foleni upande wa wananchi,kwa upande wa viongozi itifaki ilikuwa closed,mh.Rais alikuwa tayari ameshaingia uwanjani.
 
Mkuu maccm ni Wapuuzi hawakuwa na nia ya kweli ya Chadema kuhudhuria tukio hilo hivyo bila ya shaka polisi walipewa maelezo kwamba Chadema wasiingie moja kwa moja kama viongozi wa vyama vingine, kitu ambacho si sawa. Ubaguzi dhidi ya Chadema kama kawa.

1. Kama ni hivi, ina maana kila aliyeenda msibani alikwenda kujitangaza a.k.a kutafuta "kick"....

2. Maelezo ya Makene yako very clear, kwamba wana barua iliyotumwa kwao ikionesha itifaki yote ya jinsi ya kufika, kuingia na namna ya kukaa pale....

Sasa why wazuie watu kwenda kuaga?
 
Hebu kaa kwa kutulia, uzi uko page ya 21, ww ndio unauliza maswali yenye majibu post namba moja! Kama sio ulikuwa unasumbua wanaume hapa ni nini?
swali halikuwa la kwako moja kwa moja kuna mdau humu ndo tunaendelea kujadiliana na kujibizana.
 
Civilisation imewapitia mbali sana MATAGA!

Usishangae wakaambiwa wameandamana bila Kibali.

Ubaguzi huu sasa unahamia mpaka kwenye misiba na ipo siku utakwenda zaidi ya hapo.

Ya jana yamewaumiza, na hizi ndio hasira zao.

Hatari ya uamuzi huu ni msiba kuchukua sura ya kisiasa na matokeo yake watu wanaweza kususa kushiriki ikiwamo kuondoka msibani kwa waliokwisha kufika.

Ila kama kuna sababu ya msingi ya kuwazuia,tuambiwe.
Kosa kubwa sana wamefanya serikali, na inaonesha kwamba watafanya chochote ilimradi washinde uchanguzi kwa kutumia nguvu ya dola na sio matakwa ya umma.
 
Mkuu maccm ni Wapuuzi hawakuwa na nia ya kweli ya Chadema kuhudhuria tukio hilo hivyo bila ya shaka polisi walipewa maelezo kwamba Chadema wasiingie moja kwa moja kama viongozi wa vyama vingine, kitu ambacho si sawa. Ubaguzi dhidi ya Chadema kama kawa.
Mlifuata protocol?
 
1. Kama ni hivi, ina maana kila aliyeenda msibani alikwenda kujitangaza a.k.a kutafuta "kick"....

2. Maelezo ya Makene yako very clear, kwamba wana barua iliyotumwa kwao ikionesha itifaki yote ya jinsi ya kufika, kuingia na namna ya kukaa pale....

Sasa why wazuie watu kwenda kuaga?
Je, walifuata kama ratiba ya kwenye barua iliwapasa wafuate? Barua iliwataka waingie uwanjani baada ya kiongozi mkuu wa nchi kuingia?
 
Je, walienda kwa dhania ya Kumuaga Rais Mstaafu Hayati Mzee Mkapa au walienda ili Kujitangaza zaidi Kisiasa na Kumuonyesha Mgeni Mwenyeji?
Ni upumbavu tu wa kuwapa upinzani mileage rahisi.

Tundu lissu nani asiyemfahamu. Hawa polisi ni kuwafuta kazi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wapumbavu sana hawa koko... yaani wao ni nani katika nchi hii hata wafanye mzaha kwenye msiba wa kitaifa??
Sijui kwa nini hawakuteguliwa viuno
Walikuwa wapi mpaka waingie wakati Rais ameshaingia ndani? Itifaki lazima izingatiwe.
 
Mtu mwenyewe kauzu yule...bora muwe wapole mje mpate hata wabunge watatu bunge lijalo.vinginevyo mtatoka kapa,msijidanganye kwamba kura zenu wananchi zitafanya kazi,never.hui uchaguzi utakuwa kama uteuzi tu.nguvu zote anazo yeye.
 
Sawa hata wakenya mmewazuia wasitue kuungana nanyi kwenye msiba hawa nao hawakufata protokali.......

Ni ujingaujinga tu wa maccm

Wewe kweli umechanganyikiwa kabisa nani kawazuia wakenya na kwa sababu zipi? Hahaha wao wana sababu zao
 
Walikuwa wapi mpaka waingie wakati Rais ameshaingia ndani? Itifaki lazima izingatiwe.
Ushawahi kuona kwenye kampeni watu wanazuiwa hata kama Rais ameingia?

Ama wakishashiba ndiyo itifaki,wakiwa na njaa ni kutupigia magoti.

Lakini walifika kabla ya Rais kuwepo,hivyo hoja yako hapa ni bure.

Ni tukio la kulikemea tena hadharani. Msibani hatualikani.
 
Back
Top Bottom