Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Muhimu kwako wewe, sio kwa Watanzania. Lisu kwa sasa ni raia tu kamaa mimi na wewe
Wewe msaka cheo unamuona wa kawaida lkn watz na Dunia inamuona mtu wa muhimu zaidi Tanzania ya sasa sio huyo mzee wa kufokafoka
 
CHADEMA SIO VIONGOZI,CHADEMA NI TAASISI INAYOPAMBANA KUCHUKUA DOLA.
HIVYO VIONGOZI WAO WANAWAJIBIKA KUFUATA TARATIBU ZA KIDOLA.
Lkn walikua on time kulingana na ratiba sasa ww Unaongelea kitu gani cha tofauti....
 
Lisu ana siku 1 toka afike hapo chadema tayari mambo vururu vururru!

Hivi chadema hakuna mwenye akili hata mmoja aliyeweza kuwashauri kwamba wanachemka?

Prof. Baregu si mnae huko au hamtaki kumtumia awashauri mambo ya protocol.?
Wao walifika ontime kwa mujibu wa ratiba sasa kuhusu protokali ww ndo uliwaambia kwamba wamgefika saa moja kamili asubuhi?
Acha kujitoa ufahamu banaaa
 
Easy mkuu. Kama sio sympathy kwanini haikuacha TL arudi bila kupigia kelele jamii kwamba ndio anarudi. kwanza suala la kubaki hai au kufa ni la kwake na mungu...kwanini msingefanya kimyakimya suala la kubaki na uhai wake
Mbona yule mzee wa makelele na kufokafoka katoka tu msibani anaanza kupiga makelele yake kwa nn haumkatazi au ndo wale wasaka vyeo....
LISSU ni furaha ya Tanzania alitangaza mwenyewe hakuna aliyehamasisha.......

Sasa hamasisha ccm uone km kuna mtz atakuja. Kaka yako katumbuliwa arusha eti alisjindwa kuwaandaa mamluki wa kushuhudia barabara...... Maccm ni mbwa kwa kweli yanakera sn
 
Mawazo yako tu ni ya kilofa.
Tabia yetu malofa tunafanya kwa vitendo......
Tulimtibu Tundu Lissu baada ya serikali ya kishetani ya ccm kukataa maana walitaka afe
Tumechanga na kuwatoa viongozi wetu hapo majuzi hata pale mbwa ccm walipojaribu kujipendekeza kwa Msigwa wameambulia aibu kuu.....
Majuzi malofa kwa maelfu wamempokea shujaa na mzalendo wa kweli TUNDU Lissu...

Sisi ndio malofa mbwa ww
 
Tabia yetu malofa tunafanya kwa vitendo......
Tulimtibu Tundu Lissu baada ya serikali ya kishetani ya ccm kukataa maana walitaka afe
Tumechanga na kuwatoa viongozi wetu hapo majuzi hata pale mbwa ccm walipojaribu kujipendekeza kwa Msigwa wameambulia aibu kuu.....
Majuzi malofa kwa maelfu wamempokea shujaa na mzalendo wa kweli TUNDU Lissu...

Sisi ndio malofa mbwa ww
Kumbe unajua?
 
Back
Top Bottom