Walikwenda kabla ya Raisi kukaa bashite acha uongoMwanahabari Huru,
Wamekwenda muda gani? Wamekwenda baada ya kuingia Rais au baada ya kuingia Rais?
Viongozi wote isipokuwa Rais kiutaratibu huingia kabla ya kiongozi mkuu wa nchi hajaingia!
Mtu wa mwisho anaye ingia kwenye tukio lolote la kitaifa huwa ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Hebu Twambie wao wametaka kuingia muda gani? Wakati Rais kuingia au kabla?
Hivi kweli mko serious mnataka kwenda ikulu? Hamkujua ratiba?