Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Waingie wakafanye nini? Kwani msiba una wahusu? msiba ni wakwetu sisi wana ccm
Hili ni jibu tosha kwako. There's no need to expend energy.
tapatalk_1592766000193.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwahiyo walivyoambiwa wapange foleni wakaondoka kurudi makwao na kuandika barua???

Najaribu kufikiria kama wangepanga foleni huku kwa sie wananchi wa kawaida(wangejishusha) sijui ingekuwaje
 
Hawakujua siku ya leo ilikuwa ni shughulia ya mazishi ya kitaifa. Shughuli ya kitaifa ina protokali maalumu ya kuingia uwanjani . Walitakiwa kuingia wakati wa zamu za viongozi wa kisiasa kama walivyofanya wenzao. Au wawahi saa kumi na mbili waingie kama wananchi wa kawaida. Prorokali ya leo kiongozi wa mwisho kuingia alikuwa Rais na ratiba kuanza si vinginevyo.
Hapo ndio utaona utofauti wa wanasiasa kama kina Seif na wanaharakati kina Lisu
 
hao ni wapumbavu sana hivi kwenye msiba wao wanaenda kufanya showoff ya huyo lissu wao hakuna mtu anawaogopa ila wangeleta aharuki tu na macho ya dunia yangeiona tanzania ni nchi ya kijinga sana kwanza wanakuja na misafara utafikiri wao ndiyo wanashika dora halafu wanamechelewa mpaka rais anahutubia wao ndiyo waingie kenge hawa
 
Easy mkuu. Kama sio sympathy kwanini haikuacha TL arudi bila kupigia kelele jamii kwamba ndio anarudi. kwanza suala la kubaki hai au kufa ni la kwake na mungu...kwanini msingefanya kimyakimya suala la kubaki na uhai wake
ingukuwa wewe ungefanya kimyakimya?
 
Chadema wameitaka serikali itoe Maelezo kwanini viongozi wakuu wa chama hicho walizuiwa kuingia uwanja wa Uhuru kumuaga hayati Mkapa.

Barua iliyosainiwa na mkuu wa mawasiliano wa Chadema mh Makene imedai viongozi wengine wakiwemo wa dini waliruhusiwa kuingia lakini wao waliambiwa wakapange foleni kitu ambacho ni kinyume cha sheria.

Barua hiyo inadai Maelezo kamilifu toka serikalini.

Maendeleo hayana vyama!

Boss wako mbona huwa anauliza Mbunge wa hapa ni chama gani? Kwani maendeleo yana vyama?
 
Duh!

Nimekuwa kiazi mkuu? Any way shukran
Sasa mbona umependa alichosema na wakati wewe ulitakiwa ufahamu msimamo wangu? Sikukupa like yangu kwenye statement yako kama yake kasoro maeneno ya kwenye kanga?
 
Chadema hawakuwa na nia ya kwenda kuaga walienda kwenye show off na kutafuta sympathy kwamba huyu ndio TL amerudi sasa just for political gains
Siyo kweli labda msiye mtaka kaja tena kwenye msiba je kwenye kampeni? semeni mnaogopa watu wangeli sema Rais, Rais,Rais'time has already told' muda umeshaongea
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom