Msafara wa Kikwete wasimamishwa Turiani, wananchi wampa asante kuwaachia Magufuli

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Leo ndio nimeamini kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete anapendwa Sana.

Alifika hapa Turiani Morogoro kumzika bibi ambae aliishi nae kwa miaka mingi Kama mlezi wa watoto wake Bi Halima Hassan
Baada ya kutoka makaburini taarifa zilisambaa haraka hapa kijijini kwa Jakaya kesha wasili

Wakati wa kurudi toka mazishini wananchi wakaingia barabarani eneo la magengeni na baadhi wakisema:

"shuka baba uchukue zawadi ya ndizi na mananasi bure ..asante yetu kwa kutuongoza kwa busara na kutuachia rais Magufuli mchapa kazi asante baba... "
Inaonekana walinzi hawakujiandaa na hawakutaka
Jakaya akashuka Kama kawa wananchi tukasogea
Jk: "wazima? Sasa mkinipa zawadi nanyie mmeleta hapa muuze mtapata hasara,ijapokuwa vingine mimi nalima basi mtuuzie mimi na mke wangu, haya huu mkungu wa ndizi shilingapi? ..."

Akanunua vyake
Wakati anaondoka Kijana maarufu hapa anaitwa Hamisi
Akasema
"..baba msalimie Rais wetu Magufuli mwambie tunampenda Sana atunyooshe tu tufanye kazi... Tulisema wenyewe baba kuwa wewe mpole... Huyu sasa saizi yetu...na asikubali kuvurugwa na wale watoka bungeni Wacha tupige Kazi baba...safari.....njema mstaafu wetu... .. "

Jakaya baba huo mzizi wakupendwa uliokula nauomba na mimi hapa turiani nilambe walau kidogo
15a4dad9faf58b1e4717a6b3e9813cd5.jpg
a6b19c154975538c36fd3b32f144f0a7.jpg

bf177beebed7305e06c1dc68cde0a91b.jpg
cdd0eb3eff0d5cd024c0e9e26ee8f31f.jpg
369d2743c80c9020d3b0678f468c53ee.jpg
9677a9e2900956f307cbafddec05bf41.jpg
 
Wananchi wamepigwa na maisha na bado tu wamo...

Ama kweli Tanzania uijuavyo sivyo, Unafiki kwa kwenda mbele.
 
Sijawahi kuona wala kusikia Raisi mwenye kuvumilia matukano na kebehi kama JK.

Nadhani na kufikiri he is a very good father.

Pamoja na mambo mengi mabaya yaliyocost hili taifa chini ya uongozi wake ambayo moja kwa moja hakusababisha lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

JK ni mtu wa watu na alishindwa kutofautisha uraisi na kuwa mtu wa watu. Hakuweza kutenganisha vizuri nafasi ya uraisi na kudeal na marafiki.

Lakini ukweli unabaki kuwa JK ndiye rais ambaye alikuwa mvumilivu kuliko wote na alichukulia easy matukano na masimango.

He is and still remains the best diplomat Tanzania has ever had. Kunradhi Salim Ahmed Salim.
 
Naona maigizo yameanza tena kama ya kipind cha uchaguz. Tangu lini wananchi wakasimamisha msafara wa mtumkubwa kama huu hasa kwa usalama wake. Kama unabisha jaribu kusimamisha hta msafar wa wazir sikumoja uone kama huli virungu
 
Leo ndio nimeamini kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete anapendwa Sana.

Alifika hapa Turiani Morogoro kumzika bibi ambae aliishi nae kwa miaka mingi Kama mlezi wa watoto wake Bi Halima Hassan
Baada ya kutoka makaburini taarifa zilisambaa haraka hapa kijijini kwa Jakaya kesha wasili

Wakati wa kurudi toka mazishini wananchi wakaingia barabarani eneo la magengeni na baadhi wakisema:

"shuka baba uchukue zawadi ya ndizi na mananasi bure ..asante yetu kwa kutuongoza kwa busara na kutuachia rais Magufuli mchapa kazi asante baba... "
Inaonekana walinzi hawakujiandaa na hawakutaka
Jakaya akashuka Kama kawa wananchi tukasogea
Jk: "wazima? Sasa mkinipa zawadi nanyie mmeleta hapa muuze mtapata hasara,ijapokuwa vingine mimi nalima basi mtuuzie mimi na mke wangu, haya huu mkungu wa ndizi shilingapi? ..."

Akanunua vyake
Wakati anaondoka Kijana maarufu hapa anaitwa Hamisi
Akasema
"..baba msalimie Rais wetu Magufuli mwambie tunampenda Sana atunyooshe tu tufanye kazi... Tulisema wenyewe baba kuwa wewe mpole... Huyu sasa saizi yetu...na asikubali kuvurugwa na wale watoka bungeni Wacha tupige Kazi baba...safari.....njema mstaafu wetu... .. "

Jakaya baba huo mzizi wakupendwa uliokula nauomba na mimi hapa turiani nilambe walau kidogo
15a4dad9faf58b1e4717a6b3e9813cd5.jpg
a6b19c154975538c36fd3b32f144f0a7.jpg

bf177beebed7305e06c1dc68cde0a91b.jpg
cdd0eb3eff0d5cd024c0e9e26ee8f31f.jpg
369d2743c80c9020d3b0678f468c53ee.jpg
9677a9e2900956f307cbafddec05bf41.jpg
Mkuu mwambie hamisi aende msoga akapalilie migomba
 
Back
Top Bottom