Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa umepata Ajali mbaya eneo la Saza Chunya.

Siyo kina Chenge na Lowassa??!
Au siku hizi hawaitwi magamba?

Ondoeni boriti kwenye macho yenu ndo muone kibanzi Kwa CCM. Mtuwache Tulale kelele zote zile kumbe hata kwenu wapo du. Kweli ufisadi kirusi Sugu anaburuzwa bungeni tulijua anatetea ummah kumbe ufisadi hii Aibu. Shame on you chadema
 
Gari la katibu wa mkoa wa Mbeya limepata Ajali watu wamejeruhiwa ila tunamshukuru Mungu kwani hakuna aliye fariki. Majeruhi wote wamelazwa ktk hospitali teule ya Mwambani Mkwajuni Chunya. Nipo eneo la tukio.

Mkuu haupo eneo la tukio... Miye nimeongea na Mwenyekiti Wazazi (W)-CCM ameniambia yuko hapo mkwajuni pamoja na akina Mh. Mulugo wakisubiri askari ashonwe mdomo kwani huyo ndiye aliyeumia sana hasa mdomoni. Unasemaje majeruhi wamelazwa au huyo askari.?!
 
Wape pole sana majeruhi wote. Hawa majuha achana nao. Unashabikia chama na ubinadamu Hamna kwani chama nini na utu nini. ------- Hawa watu wasio kuwa na ubinadamu CDM
 
Hey hey Makamanda tuache siasa za chuki, hawa ni binadamu wenzetu ingawaje ni mafisadi lakini hatuna budi kuwatakia khera na kheri.. Mungu awasimamie na waugue pole. Poleni wanaCCM.
 
una dhalilisha jina la nyerere
nlidhani We ni mtu katika chadema kumbe tahira tu si bora utumie feki name kunya uharo unaoharisha kwenye thread kuliko kutumia verified name
hata viongoz wa juu chadema wakijua unachofanya hawatakusaport
tuna expect wewe uwe mfano wa kuigwa kuna time ya politics but kuna time to put politics aside and share the humanity which u lack
we unafikir kesho ukifa mungu atakupa award ya the best opponent politician from Tanzania?
think big and think outside th box

Ukisikia nimekufa leo usilie wala kusikitika, kanyaga maiti yangu na usonge mbele kwa mapambano ya ukombozi wa taifa letu,
 
ni kweli ajali hiyo imetokea na watu wamejeruhiwa akiwamo na mwandishi wa habari aitwae soro ni rasi nae pia yupo mwambani hospital akiendelea kupata matibabu
 
Wape pole sana majeruhi wote. Hawa majuha achana nao. Unashabikia chama na ubinadamu Hamna kwani chama nini na utu nini. ------- Hawa watu wasio kuwa na ubinadamu CDM

Acha huruma za kinafiki,ni heri mtu yule anaesema kwa uwazi vile angetaka itendeke kuliko kujifanya una ubinadamu,unathamini maisha ya binadamu mwenzio,huku Mwenyekiti wa ccm Dar akitengeneza ARV feki dawa za kurefusha maisha ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi,hebu jiulize dawa feki unarefusha maisha au unafupisha maisha? Ni wangapi waviu waliotumia dawa hizo na walisababishiwa vifo?je ni kwa nini hamjawahi hata kumvua huo uenyekiti?na mkewe aliwahi kutetea live bungeni nae hakuna kilichofanyika,leo watu wakiombea mabaya kwa maccm waliopata ajali,huwezi jua huenda ndugu yake alifupishiwa maisha kwa ARV feki,au kwa kukosa huduma ya mama mja mzito nk kea maccm kuzifisadi fedha za afya.
 
una dhalilisha jina la nyerere
nlidhani We ni mtu katika chadema kumbe tahira tu si bora utumie feki name kunya uharo unaoharisha kwenye thread kuliko kutumia verified name
hata viongoz wa juu chadema wakijua unachofanya hawatakusaport
tuna expect wewe uwe mfano wa kuigwa kuna time ya politics but kuna time to put politics aside and share the humanity which u lack
we unafikir kesho ukifa mungu atakupa award ya the best opponent politician from Tanzania?
think big and think outside th box
Usidanganyike huyu ni tapeli mmoja wala siyo mtoto wa Mwl. Nyerere na hana uhusiano na familia ya Mwl. Nyerere.

Familia ya Mwl. Nyerere ilitaka kumpeleka mahakamani kwa kutapeli watu akiwadanganya kama ni mtoto wa Mwl.Nyerere.

Mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere aliwahi kusema hivi,

Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-tanganyika-na-zanzibar-220.html#post6607884
 
Back
Top Bottom