tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Angalia huo msafara gari zote mali ya ikulu,ndio anatumia kwenye kampeniUngeweka ushahidi tungekusikiliza.
Angalia huo msafara gari zote mali ya ikulu,ndio anatumia kwenye kampeniUngeweka ushahidi tungekusikiliza.
Serikali haina magari ya kijani. Kama inayo weka ushahidi. Hata ile chopa angalia rangi yake, ni mali ya CCM.Angalia huo msafara gari zote mali ya ikulu,ndio anatumia kwenye kampeni
Mkuu una haki ya kuwafungulia mashtaka. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWanatumia pesa ya serikali,magari etc....yani ccm ni group la majambazi
Michango gani hiyo?Hujaona michango inapita majukwaani kila apoenda tunamrushia hela za michango, kwani tundu lissu hakuwa na akiba, wewe kila unacho kipata unakula chote hubaki na akiba, tulimchangia, let ya magufuli sasa
Huelewi wewe tulia, si mmezoea pesa za serikali ndio mnadandia humo humo omba Mungu chadema wasishinde utakuwa mkimbizi kwanza nahisi utakuwa ww ni moja ya wale wanaotumika kuvuruga amani ya nchi hii kwa sh elfu 20 tuMichango gani hiyo?
Hata wakichanga hawawezi kupata milioni mbili, sasa hizo zitaendesha hayo magari na chakula na sehemu ya kulala?
Hapo anafanya zuga tu ila pesa anpitisha mipakani anafanyia kampeni.
Unaendelea na ulevi.1. Chadema bado sana kifikia hadhi ya kuwa mpinzani wa ccm
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app