Msafara wa JK wapigwa mawe Tegeta juzi

Kwa hilo la kutupiw mawe hapana hakuna mtu mwenye nia njema ataafiki! Nami nakemea kwa nguvu zote!
 
Itawasaidia nini kusema uwongo......No wonder tunabaki kama tulivyo na viongozi wanachukua advantage hii kujinufaisha wao na familia zao.Tutabakia kupewa t shirts na upande wa kanga huku watoto wetu wakisomea chini na kula madawa ya kulevya.Tubadilike tuwe wa kweli na tudai haki zetu kisheria bila UNAFIKI.
hakuna haki afrika, only money talks
 
Jamani eenh! Hii post ni ya tangu MWAAK 2012,,,lakini baadhi yenu mnacomment as if imetokea hivi karibuni..!!!
 
Jamani eenh! Hii post ni ya tangu MWAAK 2012,,,lakini baadhi yenu mnacomment as if imetokea hivi karibuni..!!!

Mkuu..
Humu Jf kunavita baridi, hivyo usishangae.,kuona makombora yakiwa yanarushwa bila kujua chanzo nini hasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom