Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Wakuu juzi msafara wa JK akielekea kwake Msoga ulipata kwikwi pale Tegeta baada ya pikipiki mbili kuingilia msafara huo amabapo JK alikuwa kwenye gari aina ya Nissan Patrol. Gari ya mkuu iliingia mtaroni na wananchi wenye hasira wakaanza kulishambulia kwa mawe lakini TISS waliikabili hiyo hali kwa kufyatua ambapo watu wa 3 walifariki papo hapo.
Nawakilisha
Nawakilisha