Msafara wa Dkt. Slaa wazuiwa kwa muda Iringa jioni hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa Dkt. Slaa wazuiwa kwa muda Iringa jioni hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Aug 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [​IMG]
  FFU wakiwa wameuzuia msafara wa viongozi wa Chadema Taifa eneo la Miyomboni mjini Iringa jioni hii ,msafara huo ulikuwa ukitokea Morogoro kuja Iringa
  [​IMG]
  Msafara wa Chadema ukiwa umepigwa Stop eneo la Miyomboni jioni hii
  [​IMG][​IMG]
  Jeshi la Polisi mkoani Iringa limeuzuia kwa muda msafara wa viongozi wa kitaifa wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ambao walikuwa wakiingia mjini Iringa wakitokea mkoani Morogoro.

  Askari polisi hao wakiongozwa na askari wa FFU zaidi ya 100 waliuzuia msafara huo eneo la Zebra katika barabara kuu ya Iringa – Dodoma baada ya jeshi hilo awali kuzuia maandamano ya Chadema na vyama vyote kwa maelekezo ya msajili wa vyama vya siasa.

  Hata hivyo kutokana na umati mkubwa wa wananchi mkufika eneo hilo viongozi wa Chadema na polisi waliweza kukubaliana msafara huo kuendelea na safari yake kuelekea nyumbani kwa mbunge Msigwa eneo la Kihesa.

  Katika tukio hilo jeshi la polisi halijaweza kutumia mabomu wala nguvu zaidi katika kuwatawanya wananchi kama ilivyo kuwa mkoani Morogoro jana.

  Habari zaidi utaendelea kuzipata
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Moto wa m4c unawawakia!
   
 3. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  M4C a nonstater, a failure.
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kakabiliana na kaburu mweusi ni kazi kweli kweli. Sisiem wanataka kutuingiza katika machafuko. Uzuri wanajua makaburu wenzao walipoishia.
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  sipati picha 2015...viva M4C....
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  May be this is a failure to you. Na CCM Iringa mtakiona cha mtemakuni.

  Tunangojea press conference. Hii inatupa tabu kidogo.
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  Mi naona itafika wakati utasikia viongozi wa hii serikali wanaanza jiuzuru ili wasije kuwa wahusika kwenye kuzuia CDM na M4C 2015
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Huu moto hawawezi kuuzima hata wangekuwa na polisi milioni moja Hapo iringa
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hapo ndio utajua kuwa m4c ni moto wa kuotea mbali!
   
 10. majany

  majany JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  tis message have been deleted by Rama Ighondu
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  inyeshe mvua, liwake jua, kuwe na upepo m4c itasonga mbele baada ya sensa. Huo ni wito wa Rais wa ukweli Dr. Slaa
   
 12. Pangaea

  Pangaea JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo ni devine power. Haizuiliki. Hawa wasome historia ya tawala mbalimbali duniani"rise and fall of empires". Kisha watueleze ni utawala gani umewahi kudumu milele?
   
 13. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CDM wanatutia moyo kwamba angalau UHURU wa KWELI upo njiani. God bless you CHADEMA.
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  [h=1]Mkuu T.2015.CDM kuna gamba linatumia Id yako Kama T2015ccm[/h]
   
 15. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  This message has been deleted by Suleyman Kova.
   
 16. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Nadhani ifike wakati serikali itambue kuwa ni rahisi kuzuia raia kufanya maandamano kuliko kuzuia watu kupata fikra mpya,utamaduni wa kudumazana umepitwa na wakati sasa hata ambae hakwenda shule anatambua umuhimu wa uraia wake na haki zake za msingi. Vyombo vyetu vya dola vizuri kusimamia haki na usawa pasipo kutumika kisiasa.

  Ifahamike kuwa mdogo wa leo ndo mkubwa wa kesho,so mwendelezo wa mabavu hautunufaishi kwa namna yoyote ile, ukweli, usawa na haki ni nguzo muhimu ktk ujenzi wa taifa lenye weledi.

  Tuachane na mabavu turuhusu busara na maadili kutenda.
   
 17. P

  Penguine JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Kwasasa ni dhahiri kusema cdm ina wananchi wakat ccm ikiwa na dola. Kilichobaki sasa cdm anzeni hotuba za nguvu zenye mashiko mazito kuvielimisha vyombo vya dola kuhusu aina ya mabadiliko yatarajiwayo ili navyo vikombolewe kifikra.

   
 18. ngalelefijo

  ngalelefijo JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 1,798
  Likes Received: 759
  Trophy Points: 280
  Kauli ya kuwa wao magamba na pesa ,sisi na mungu ni nzito haijawahi kusemwa tangu dunia hii iumbwe viva m4c
   
 19. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  mioyo iliyokata tamaa na ugumu wa maisha.mioyo inayoona nuru pekee ya kuleta matumaini mapya kwa watanzania ni chama cha chadema .Huwezi kuzuia mafuriko ya mto kwa kujaza fifusi vya majivu
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Shujaa wetu kasemea wapi haya?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...