Suleiman hatibu
Member
- Dec 22, 2017
- 51
- 18
BREAK NEWS
Habari za hivi punde
Msafara wa wabunge wetu unao ongozwa na Makamu mwenyekiti CUF bara umezuiliwa na police usitoke nje ya newala Leo kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi na vikao vya ndani ya chama ktk ratiba yake Leo kuelekea Tandahimba
Polisi mtaendelea kutumiwa na ccm hadi lini,kumbukeni uvumilivu una mwisho wake