Msafara wa CUF wazuiliwa na Polisi usitoke nje ya Newala kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi

Dec 22, 2017
51
18
BREAK NEWS

Habari za hivi punde

Msafara wa wabunge wetu unao ongozwa na Makamu mwenyekiti CUF bara umezuiliwa na police usitoke nje ya newala Leo kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi na vikao vya ndani ya chama ktk ratiba yake Leo kuelekea Tandahimba

Polisi mtaendelea kutumiwa na ccm hadi lini,kumbukeni uvumilivu una mwisho wake
 
Sijafaha umesema ujumbe wa chama gani.........?
 
BREAK NEWS

Habari za hivi punde

Msafara wa wabunge wetu unao ongozwa na Makamu mwenyekiti CUF bara umezuiliwa na police usitoke nje ya newala Leo kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi na vikao vya ndani ya chama ktk ratiba yake Leo kuelekea Tandahimba

Polisi mtaendelea kutumiwa na ccm hadi lini,kumbukeni uvumilivu una mwisho wake
Sema msafara wa CCM B umezuiwa na Polisi sio CUF
 
Hakuna kipya hapo...

Alafu hapo hapo bila aibu kuna jamaa fulani bila aibu anasema hakuna malalamiko ya maandishi yaliyowafikia kwamba wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano yao...

Cc: mahondaw
 
BREAK NEWS

Habari za hivi punde

Msafara wa wabunge wetu unao ongozwa na Makamu mwenyekiti CUF bara umezuiliwa na police usitoke nje ya newala Leo kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi na vikao vya ndani ya chama ktk ratiba yake Leo kuelekea Tandahimba

Polisi mtaendelea kutumiwa na ccm hadi lini,kumbukeni uvumilivu una mwisho wake
Umeona wapi toilet paper & condom kitumika Zaidi ya mara moja??
 
Back
Top Bottom