Msafara wa CCM watinga Makongorosi Chunya,waendelea kuimarisha chama

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
Katibu Mkuu wa wa CCM,Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro,Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Wawawasili Makongolosi, Chunya na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua
1.+Kinana%252C+Nape+na+Migiro+wakishiriki+ujenzi+soko+la+Kata+ya+Mwambani%252C+Makongolosi%252C+Chunya.jpg
KATIBU Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kati) na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha_rose Migiro, katika ujenzi soko la Kata ya Mwambani, Makongolosi, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
2.+Kinana+na+Dk.+Migiro+wakishiriki+ujenzi+wa+bwenila+wasichana+shule+ya+Kapalala%252C+Chunya..jpg
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Migiro wakishiriki ujenzi wa bweni la wasichana shule ya Sekondari Kapalala, wilayani Chunya mkoani Mbeya. Des 1, 2013.
4.+Kinana+akifunga+skrubu+wakati+akiweka+mlango+kwenye+nyumba+ya+walimu+nawatumishi+wahospitali%252C+Saza%252C+Chunya.+Kulia+ni+DC+Mbeya+Kandoro.jpg

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifunga skrubu wakati akiweka mlango kwenye nyumba ya walimu nawatumishi wahospitali, Saza, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013. Kulia ni DC Mbeya Kandoro.
3.+Kinana+%2528kulia%2529+akikagua+bweni+la+wasichana%252C+shule+ya+sekondari+Maweni%252C+Kata+ya+Mwambani%252C+Chunya.+Wapiliu+kushoto+ni+Mkuu+wa+shule+hiyo+Elly+Mnyalape..jpg

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) akikagua bweni la wasichana, shule ya sekondari Maweni, Kata ya Mwambani, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013. Wapili kushoto ni Mkuu wa shule hiyo Elly Mnyalape.
5.+Kinana+akimtwishandooya+maji+Gegwa+Luhende+baada+ya+kuzindua+mradi+wa+maji+safi+na+salama+katika+kijiji+cha+wafugaji+cha+Mteka%252C+Chunya.jpg
Katibu Mkuu wa CCM, Absulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Gegwa Luhende, baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama, katika kijiji cha wafugaji cha Mteka, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
7.+Kinana+akikagua+lambo+la+kunyweshea+ng%2527ombe+katika+kijiji+cha+wafugaji+cha+Mteka%252C+Chunya.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua lambo la kunyweshea mifugo katika kijiji cha wafugaji cha Mteka, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
8.+Kinana+akiwa+na+zawadiza+mtumbwi+aliopewa+kijiji+cha+Udinde%252C+Chunya.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Absulrahman Kinana akiwa na zawadi ya mtumbwi aliopewa na wazee katika kijiji cha Udinde, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
9.+Nape+akishiriki+kuungurumisha+ngoma+inayotumbuizwa+kwa+mtungi+na+kigoda%252C+katika+kijiji+cha+Udinde%252C+Chunya.jpg

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kuungurumisha ngoma inayotumbuizwa kwa mtungi na kigoda, katika kijiji cha Udinde, Chunya.
6.+Nape+na+Kinana+wakilachakula+cha+jamii+ya+wafugaji+wa+Kisukuma%252C+katika+msitu+wa+kijiji+cha+wafugaji+hao+cha+Mteka%252C+Chunya.jpg



Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakila chakula cha asilia ya jamii ya wafugaji wa Kisukuma, katika msitu wa kijiji cha wafugaji hao cha Mteka, Chunya, wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani Mbeya Des Mosi, 2013.Picha Zote na Bashir Nkromo
 
Chama gani hakijajimarisha kwa zaidi ya miaka 50 madarakani, hamjiulizi walikuwa wapi? iweje leo wajitokeze kwenu tena kujifanya kushiriki shughuli za maendeleo ambayo kimsingi hatua hiyo ilitakiwa iwe imefikiwa miaka labda 30 iliyopita.
Swali ni dogo tu waulizeni walikua wapi? na fedha zetu za kodi kwa maendeleo ya kila mtanzania zimefanya nini kwa miaka 50+ Je kilichofanyika wananchi manaridhika na kiasi cha fedha zetu tulizokwisha changia serikali kwa muda wote huo? Kama jibu ni ndio, basi tuwapongeze kwa jitihada wanazozifanya na tanzania yenye maziwa na asali tuisubiri miaka ya 2213.
 
Hakuna jipya huko tofauti na kwenda kulipana posho tu na kutoa matamko ya mawaziri mizigo huko badala ya kufanya maamuzi magumu kama chama makini Cdm.Serikari na kila kitu munavyo nyie alafu unatuhumu mawaziri mizigo baada ya kushiba pilau.Miaka 50 mlishazunguka sana kila siku ahadi zisizotekelezeka.kweli kuwa Ccm unatakiwa uwe mwendawazimu.Poleni sana mlioko huko,sie CDM yatosha!
 
Nawaonea huruma hao akina Mama wasiojitambua wanaokata viuno na kuambulia Khanga 1 na kipande cha kijikitambaa na watoto wao wakiambulia division 5 huku inchi ikiliwa na wenye Meno,huku Nape akizidi kuvimba tumbo utadhani simtank!
 
Back
Top Bottom