• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Msafara wa CCM watinga Makongorosi Chunya,waendelea kuimarisha chama

Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Messages
1,198
Points
0
Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2012
1,198 0
Katibu Mkuu wa wa CCM,Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro,Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Wawawasili Makongolosi, Chunya na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua
KATIBU Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kati) na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha_rose Migiro, katika ujenzi soko la Kata ya Mwambani, Makongolosi, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Migiro wakishiriki ujenzi wa bweni la wasichana shule ya Sekondari Kapalala, wilayani Chunya mkoani Mbeya. Des 1, 2013.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifunga skrubu wakati akiweka mlango kwenye nyumba ya walimu nawatumishi wahospitali, Saza, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013. Kulia ni DC Mbeya Kandoro.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) akikagua bweni la wasichana, shule ya sekondari Maweni, Kata ya Mwambani, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013. Wapili kushoto ni Mkuu wa shule hiyo Elly Mnyalape.
Katibu Mkuu wa CCM, Absulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Gegwa Luhende, baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama, katika kijiji cha wafugaji cha Mteka, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua lambo la kunyweshea mifugo katika kijiji cha wafugaji cha Mteka, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.

Katibu Mkuu wa CCM, Absulrahman Kinana akiwa na zawadi ya mtumbwi aliopewa na wazee katika kijiji cha Udinde, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kuungurumisha ngoma inayotumbuizwa kwa mtungi na kigoda, katika kijiji cha Udinde, Chunya.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakila chakula cha asilia ya jamii ya wafugaji wa Kisukuma, katika msitu wa kijiji cha wafugaji hao cha Mteka, Chunya, wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani Mbeya Des Mosi, 2013.Picha Zote na Bashir Nkromo
 
Maundumula

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
7,045
Points
1,225
Maundumula

Maundumula

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
7,045 1,225
Kweli Kinana ni jembe. Ndio maana ufipa wanaweweseka.
 
Maundumula

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
7,045
Points
1,225
Maundumula

Maundumula

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
7,045 1,225
Kinana ni jembe
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
kinana atawanyima usingizi sana wasiopenda maendeleo jamaa ni kiongozi shupavu.
 
M

Miimo

Senior Member
Joined
Apr 7, 2012
Messages
106
Points
0
M

Miimo

Senior Member
Joined Apr 7, 2012
106 0
Chama gani hakijajimarisha kwa zaidi ya miaka 50 madarakani, hamjiulizi walikuwa wapi? iweje leo wajitokeze kwenu tena kujifanya kushiriki shughuli za maendeleo ambayo kimsingi hatua hiyo ilitakiwa iwe imefikiwa miaka labda 30 iliyopita.
Swali ni dogo tu waulizeni walikua wapi? na fedha zetu za kodi kwa maendeleo ya kila mtanzania zimefanya nini kwa miaka 50+ Je kilichofanyika wananchi manaridhika na kiasi cha fedha zetu tulizokwisha changia serikali kwa muda wote huo? Kama jibu ni ndio, basi tuwapongeze kwa jitihada wanazozifanya na tanzania yenye maziwa na asali tuisubiri miaka ya 2213.
 
JAKOBO

JAKOBO

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
934
Points
0
JAKOBO

JAKOBO

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
934 0
Hakuna jipya huko tofauti na kwenda kulipana posho tu na kutoa matamko ya mawaziri mizigo huko badala ya kufanya maamuzi magumu kama chama makini Cdm.Serikari na kila kitu munavyo nyie alafu unatuhumu mawaziri mizigo baada ya kushiba pilau.Miaka 50 mlishazunguka sana kila siku ahadi zisizotekelezeka.kweli kuwa Ccm unatakiwa uwe mwendawazimu.Poleni sana mlioko huko,sie CDM yatosha!
 
JAKOBO

JAKOBO

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
934
Points
0
JAKOBO

JAKOBO

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
934 0
Nawaonea huruma hao akina Mama wasiojitambua wanaokata viuno na kuambulia Khanga 1 na kipande cha kijikitambaa na watoto wao wakiambulia division 5 huku inchi ikiliwa na wenye Meno,huku Nape akizidi kuvimba tumbo utadhani simtank!
 
Frank Sojo

Frank Sojo

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
343
Points
195
Frank Sojo

Frank Sojo

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2013
343 195
Safari hii mtajenga mpaka mitaro Chezea 2015 wewe!!!!!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,402,619
Members 530,952
Posts 34,400,493
Top