Msafara wa Baraza la Wawakilishi washambuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa Baraza la Wawakilishi washambuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Junius, May 11, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Na Mwinyi Sadallah

  Suspected bandits on Wednesday waylaid a bus carrying members of the Zanzibar House of Representatives and fired at them at Malagarasi in Kigoma Region.

  The members of the House Communication and Construction Committee were on their way to Dar es Salaam from Kigoma where they had gone to learn ways of operating power plants in the region.

  The leader of the delegation, Deputy Minister for Water, Construction and Energy, Tafana Kassim Mzee, said unidentified people believed to be bandits blocked the road with logs and started shooting at their bus.

  He said some bullets broke the buses` window glasses.

  Mzee said the incident occurred on Wednesday morning when the legislators were heading to Dar es Salaam after a study tour in the region.

  He said upon reaching Malagarasi Bridge, they found logs placed across the road and police officers who were escorting them ordered the driver to immediately change the direction and go back.

  Mzee said the officers also ordered them to lie low under their seats.

  ``As we were obeying the order we saw people in Tanzania People`s Defence Forces uniforms emerging from the bush and started firing at us,`` he said.

  He added: “As the bandits were approaching our bus, the officers, who were escorting us, got out of the bus and started exchanging fire with the bandits,`` said Mzee.
  Mzee said the bandits were overpowered and ran way.

  “We were driven back to Kigoma safely. But it was a nasty experience,`` he added.

  The legislators included Mzee Ramadhan Nyonje Pandu, Hamad Masoud, Othman Ali.

  Others were Zakia Omara Juma, Subeti Khamis Faki, Hindu Hamad Khamis, Ali Denge, Makame Ame Ussi, Omar Ali Jadi, Kamal Basha Pandu and an officer from Zanzibar Electricity Company, Ahmed Shehe Saleh.

  The delegation is still in Kigoma Region and is expected to travel back by plane.

  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Poleni sana!

  Sasa why travel by Bus all the way Kigoma- Dar? Air travel ni cheaper and safer kwa Wabunge!
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Labda walikuwa wanabana matumizi
   
 4. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2009
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 341
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kigoma yenyewe hata umeme hawana!
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mods join this with the other one posted by Mwiba.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hilo sio tatizo ,hapa panaonekana watu wakiwa wamevalia rasmi mavazi ya JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ) ,sasa sijui walishasikia kuwa Muungano umeshavunjika ? Nakumbuka ilipovinjika Jmuia ya Afrika ya Mashariki ,Wakenya na vyombo vyao vya usafiri walizuiwa hapa ,sasa munatuambiaje kuhusu hili Waziri wa Ulinzi ,anasemaje ,Mkuu wa Majeshi anasemaje ?

  Habari ndio hiyo kuna watu wanaoperate camps with National Military Uniforms na kuvamia mabasi ,ni vipi wakuu hawa wataipokea habari hii ? Maana hawa majeshi tunaoishi nao mitaani siku wakikukuta umevalia kaptula iliyofanana na jezi zao basi utakiona kilichomfanya Simba kuishi msituni.

  Sasa na waende huko wakaonyeshe makeke yao. Inawezekana kabisa tumevamiwa na hatujui,ndio maana yake,vikundi vinajiimarisha kwa kupora mabasi na kununua na kujilundikia silaha huko misituni. Watu wanapelekwa Comoro ,wanapelekwa Darfuri wanapelekwa Lebanon kumbe ndani ya nchi kuna kambi za kiharamia zinazohatarisha usalama wa Raia na mali zao,kwa mrengo mwengine hakuna usalama ndani ya nchi ,hivi hawa wajeshi na mapolisi hawawezi kuwa wanafanya doria kwa kujijaza ndani ya mabasi ya kiraia na kupita njia hizi huku wakiweka mawasiliano ya helikopta za kijeshi tayari na kuweza kupata directional za kuwazunguka iwapo watakutana na vitu kama hivyo.

  Mbinu za kipolisi na kijeshi zinaweza kuwamaliza watu hawa wanaokaa maporini na kuvizia, lakini Utawala wa Sultani CCM hakijali maisha ya Mtanzania wa kawaida.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. Tatizo la usalama Kigoma na Kagera ni wakimbizi wa great lakes na silaha kutoka nchi jirani!

  2. Wawakilishi walipenda tu kuzunguka Tz hadi Kgma: ili siku ziwe nyingi na posho iwe nono! Hakuna cha kujifunza umeme hapo!
   
 8. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Wanalipwa kwa kukaa na/au kuzunguka. Hata wakizunguka mwezi mshiko pale pale.
   
 9. M

  Masatu JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hizi study tour nyingine mmhh. All the way mpaka Kigoma kujifunza umeme wa jenereta?
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wewe Mwiba utakua mtambo..lol

  Hapa hakuna habari ya muungano hapa, kule Kigoma kuna majambazi wa kufa mtu hivyo anza kuiingiza hii hoja kwenye kichwa chako kuanzia sasa..
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa maana hiyo Utawala wa CCM unafahamu kuwa kuna majambazi ya kufa mtu,tena wanatumia mavazi ya JWTZ ,nini faida ya Serikali kuwa na polisi,kuwa na majeshi ,hivi sifa yetu kubwa ni kuwapeleka huko Comoro na kwengineko ?

  Sasa leo wamevamia msafara wa Wawakilishi wa Zanzibar ,huoni kama kesho na kesho kutwa watauteka msafara wa Raisi na kuuangamiza,jaribu kusoma kwa kina na kufahamu ,sio unavamia kwa kunusa habari na kuona umefahamu kila kitu ,huko ndiko kukurupuka .

  Hii inamaanisha hali ya vyombo vya ulinzi ni ya kutiliwa shaka sana ,Kikwete alipigwa ngwara ,Mwinyi kazabwa kibao ,kwa upande wangu utaniona na shangilia lakini siko huko kabisa ,inaniuma ndani ya roho ,kuwa inakuwaje tunakuwa mstari wa mbele katika kusafirisha majeshi wakati ndani ya nchi hakuna usalama wa uhakika ,iweje kila siku mabasi au wananchi wanaokatisha sehemu hizo wapate escort ya polisi na vifaru ? Je sehemu hiyo si mali ya Tanzania ? Tunakatisha ndani ya nchi ya watu ,kwa nini visifunguliwe vituo vya kijeshi katika sehemu hizo na kwa nini hizi helikopta tulizonazo za kijeshi zisitumike kufanya inspection katika sehemu hizo.

  Ikiwa majambazi au kikundi kimefikia kutumia mavazi ya kijeshi na kuweka road block ni lazima Jemedari mkuu atoe sababu,Mkuu wa Majeshi atoe sababu,Waziri wa ulinzi atoe sababu ,Mkuu wa Mkoa ,wa Wilaya au tutawahesabu nao wamo ili baada ya mawindo wagaiwe ngawira ,ndio maana yake ,haiwezekani kuwepo na road block isipokuwa kutakuwa na uwasi katika sehemu hiyo.

  Je Mkuu wa mkoa alitoa taarifa kwenye vyombo vya ulinzi na haswa Jeshi kuwa kunaonekana kuna sehemu imevamiwa na wameonekana watu na mavazi ya kijeshi na silaha nzito nzito wameteka barabara na kuweka vizuizi.

  Wanasiasa wa upinzani hii ni karata ya kuizamisha CCM ,sio jambo kama hili linachukuliwa kuwa ni dogo ,tumejaliza majeshi mpaka wengine tunasafirisha nje ya nchi kwenda kuweka ulinzi nchi nyengine ,na wengine wanalipukiwa na mabomu kwenye kambi zao na kupoteza maisha bila ya kumsaidia mwananchi anesumbuliwa na wavamizi ,inawezekana kabisa kuwa watu hawa wana asili ya kisomali au kirwanda,burundi au ni wazawa ambao wameamua baada ya kuona hakuna cha kuwatisha.

  Kuna nchi unatembea usiku na mchana hukutani napolisi wala jeshi na unakuta safari yako ni salama kabisa ,ila hapa Bongo utapishana na kila aina chombo cha ulinzi si mjini si mashamba hawa wanakwenda huku na wengine wanarudi huku ,walifanyalo halijulikani ,kwa maana ndani ya nchi usalama na ulinzi ni kuwakubabaisha.

  Hii ni aibu kwa Waziri wa ulinzi ni aibu kwa jeshi lenyewe ,maana huko wanakopelekwa wakisikia habari hii wataona wameletewa maadui wa filamu za kijapani ,kumi kwa shilingi.
   
 12. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mwiba,
  Hii kamati huijuwi ww, mm nimeshafanya nayo kazi wakati fulani, they are very stupids groups of money eaters badala ya kufanya kazi wao wapo katika picnic tu, waache yawakute.
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa maana hiyo tatizo linajulikana,kwa maana hiyo jezi za Jeshi TPDF zinaruhusika vipi kuvaliwa na wakimbizi,ubebaji silaha unaruhusiwa vipi,uwekaji road block ,hawa watakuwa si wakimbizi ikiwa wanahatarisha usalama na wanaohatarishiwa usalama ni wasamaria wema waliowapokea wakimbizi hao kwa mikono miwili ,inakuwaje kuwaje kufikia kupokewa na kuachiwa kuranda na silaha pamoja na mavazi ya jeshi,hivi hawakueleweshwa kuwa Tanzania military uniform hairuhusiwi kuvaliwa na mtu asie mwanajeshi wa Nchi hii ?

  Kwa maana hiyo serikali ina watendaji wazembe,jeshini kuna watendaji wazembe,usalama wa Taifa kuna watendaji wazembe na polisi nako kuna watendaji wazembe ,natumai kambi hizi huwa zinalindwa na wanajeshi kwa kiasi fulani ,sasa wale waliopewa jukumu hilo inamaana wanazembea kazi yao na hawajui walitendalo au wanatumika kuwapa ruhusa ,silaha mavazi na vitendea kazi vya ujambazi.

  Polisi wanaweza kuendesha msako katika eneo hilo ,usalama wa taifa unaweza kutembeza ukachero katika sehemu hizo ,na jeshi linaweza kutumia mbinu katika kuwatia mbaroni wahusika wa shutuma hizo hizi ni kazi zao na wanalipwa mishahara kuhakikisha wanalinda usalama wa Taifa hili na wananchi wake ,uko wapi usalama -Raisi anapigwa ngwara ,Raisi Mstaafu anazabwa kibao mabasi yanayosafirisha wananchi yanavamiwa na mambo yote yanatokea mchana kweupe.

  Hii inamaana network ya usalama ni mbovu au imevamiwa ,kwa ufupi tuna sehemu tatu haiwezekani sehemu zote tatu ziwe zimevamiwa na kutumika na mitandao ya ujambazi ,na katika sehemu hizo kuna vitengo mbali mbali na vinaweza kutembea Tanzania nzima.

  Marekani wana CIA wana FBI wana polisi na vitu kibao na kila kimoja kinafanya kazi kivyake na mashirikiano yanakuwa madogo sana na sehemu zingine kila mmoja anachunguza kivyake vyake.

  Hivyo tuna Uslama wa Taifa ,Tuna Polisi tuna majeshi na wote hawa wana vyombo vyao vya kuchunguza ,tumeona kumetumika mavazi ya jeshi ,hivyo jeshi linaweza kutumia makachero wake na kuona ni nani anaewatia dosari na aibu na wakimbana mtu watawambia wananchi kuwa waliokuwa wakifanya mambo hayo ni polisi au ni usalama wa taifa na jeshi linakuwa safi ,na usalama wa taifa nao wanaweza kufanya ukachero wao na kugundundua kuwa wanaohusika na vitendo hivyo ni wanajeshi waliomo ndani ya vikosi vya Taifa hili na polisi nao wanaweza kutumia mbinu zao ,alimradi kila mmoja anawajibika kivyake ndipo tutakapoona kuwa nchi inayo vyombo vya ulinzi vyenye kujali hali ya vitisho inayotokea katika njia na barabara za kwendea na kutokea mikoani ,kuna mahelkopta kuna magari ya deraya na mambo kibao pamoja na mbinu za vikosi hivyo ,jamani leo ni miaka 47 tokea tupate uhuru Mtz anaogopa kusafiri kutoka pembe hii na kwenda pembe nyingine ndani ya nchi yake ,tumetawala au tumetawaliwa ?
   
 14. N

  Nampula JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walikwenda kigoma kujifunza kuhusu umeme au walienda na mambo yao tu?maana kigoma huo umeme haupo sasa walienda kujifunza kitu kisichokuwapo.
   
 15. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ma bandido-askari wametumwa na Mizengo Pinda awashikishe adabu wasirudie tena kusema Zanzibar ni nchi.

  On top of that wasizoee zoee kufuja mali na wakati kwa kisingizio cha "study tours" kama alivyosema juzi.
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Wabunge kama hivyo waki safiri as a group hamna any security wanaopewa? Au hiyo haipo kwenye protocol. Maana I would think kama viongozi wa nchi tena wame safiri wengi pamoja kunge kua na kaulinzi fulani.
   
Loading...